Nitumie mbinu gani kumhalalisha kuwa mke mdogo?

Nitumie mbinu gani kumhalalisha kuwa mke mdogo?

Jinsi ulivomaliza mwishoni Sasa🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, ndoa zipo za aina tatu pekee;
✓Ndoa za kidini
✓Ndoa ya Serikali
✓Ndoa za Kimila

Kama dini yako imeruhusu mke mmoja, hakuna nafasi ya kuongeza wapili ama watatu

Vinginevyo uoe Kimila
 
Haiwezi kuleta changamoto kwa mama mjengo?
 
Haiwezi kuleta changamoto kwa mama mjengo?
Hakuna uwezekano ndoa ya kwanza ikaendelea ukiongeza mke wa pili

Kwenye Ukristo ndoa huwa ni moja pekee

Hata hivyo umesema huyo wa pili ndiyo umempenda sana kwasasa, ila nikukumbushe hata mkeo ulimwona mrembo mno mwanzoni

Kwahiyo hata huyo wa pili pia utamchoka in future

Nje ya mada; Unao Uchumi wa kuweza kutunza na kuwalea hao watoto 15 ama unatumia kauli mbiu kwamba "Riziki ya mbwa iko miguuni pake"?🤪
 
Back
Top Bottom