Auawa kwa kuchomwa moto akituhumiwa kumlawiti mtoto hadi kusababisha kifo chake

Mwenzio kachomwa moto.... omba sana usikutwe
Kila mtu mwenye akili timamu, anachukia vitendo vya unyanyasaji. Ila ni watu wachache wenye matatizo ya akili ndio wanachukia jinsia nzima ya kiume kwa upuuzi wa watu wachache!
 
Mbona naona aliekuwa anatetea mtoto asilawitiwe ndo kauawa.Huyo mpita njia alitoa wapi hicho kisu?.Huyo alieuawa ni mpitaji tu.Ila mwenyeji ambae ndie m'bakaji alikuwa na kisu akaamua kugeuza kibao kwa huyo mpita njia aliekuwa anatetea.MTAZAMO TU
 
The other gender again, [emoji119]
Tukisema hii jinsia ni laana itokomezwe ili dunia ibaki salama, tunaonekana haters.
Sasa mkuu tukiunga mkono ushauri wako, gender yote ikiangamizwa, ni nani atakayekulala wewe?
 
Mbona naona aliekuwa anatetea mtoto asilawitiwe ndo kauawa.Huyo mpita njia alitoa wapi hicho kisu?.Huyo alieuawa ni mpitaji tu.Ila mwenyeji ambae ndie m'bakaji alikuwa na kisu akaamua kugeuza kibao kwa huyo mpita njia aliekuwa anatetea.MTAZAMO TU
Rudia kusoma ili ufanye evaluetion.
 
Kila mtu mwenye akili timamu, anachukia vitendo vya unyanyasaji. Ila ni watu wachache wenye matatizo ya akili ndio wanachukia jinsia nzima ya kiume kwa upuuzi wa watu wachache!
Jinsia ya kiume ndio inayofanya huo unyanyasaji, ni lazima ichukiwe yenyewe
 
Kuna maisha apart from ngono, kama ukifungua akili
Una umri gani, labda kwa mzee kama mimi ndiyo waweza kuconclude hivyo, kwamba ya dunia yashakuchosha na hauna hamu nayo tena!

Lakini kwa hali ya kawaida na kama bado ni kijana, kukataa maunganiko ya kibaiolojia ya kiasili ya M/Mungu, huwa aidha kama siyo matatizo ya kisaikolijia basi ni mtizamo hasi unaotokana na malezi.

Binadamu tunategemeana sana katika muunganiko wa mwanaume na mwanamke.

Hata kama unaishi single, hiyo siyo sababu ya kutotegemea gender nyingine katika maisha.

Gender ya aina moja kama M/Mungu akiamua kuiperish, basi kwa hakika gender nyingine haiwezi kuhimili mikiki ya dunia hii kwa muda mrefu, maana yake nayo itaangamia.
 
Ni kijana mwenye nguvu ila ngono sio kipaumbele changu,
Ikitolewa gender korofi (Me) Dunia itapumua na kila kiumbe kitaishi kwa amani,

Uharibifu wote huletwa na gender ya Me.
 
"Ikitolewa gender korofi (me)"...
Sasa kwa kusahihisha context yako hiyo twaweza kwenda pa1.
 
Sijasema kwamba ni sahihi walichofanya hao wananchi. Bali kama shahidi anasema ukweli...
 
The other gender again, [emoji119]
Tukisema hii jinsia ni laana itokomezwe ili dunia ibaki salama, tunaonekana haters.
Sio wote wapo hivyo mimi nimefanya nini mpaka utake nitokomezwe pia?
 
Sijasema kwamba ni sahihi walichofanya hao wananchi. Bali kama shahidi anasema ukweli...
hata kama shahidi alisema ukweli kamfuma marehemu anabaka mtoto, bado si sawa kumpa adhabu nje ya mifumo ya kisheria

tatizo letu third world hatuheshimu sheria, sheria ni kitu muhimu sana katika maendeleo ya nchi. Tunasema Rais amevunja sheria kusaini mkataba wa TPA kinyume na ibara ya 34 inayosema Rais sio bosi wa TPA. Mbona sisi wenyewe tunadharau sheria mitaani ?
 
Kwani nimesema adhabu aliyopewa ni sahihi?
 
Huyo alifaa alawitiwe na Kisu cha moto, kinawekwa kwenye moto mpaka kiwe chekundu, kisha kina zamishwa kwenye Anus.

Kisha wana tafutwa Siafu[emoji220]wanawekwa kwenye uume wang'ate ng'ate hasa pale kichwani.

Kisha wana tafuta ma plastiki wanaya choma moto, Ule uji uji wa plastiki una dondoshewa tena kwenye uume,

Baada ya hapo ni kuchukua tairi valisha mwagiwa petroli washa moto sasa....
 
Aisee
 
Duh hapa mpaka msomaji mwili unasisimka hiyo adhabu ni balaa
 
Ushirikina,waganga wAtu wabaya sana,waganga wanagharimu maisha ya watu wengi sana,
 
Kama wamemzika wafukue kaburi, anatakiwa kuchomwa moto tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…