Auawa kwa kuchomwa moto akituhumiwa kumlawiti mtoto hadi kusababisha kifo chake

Auawa kwa kuchomwa moto akituhumiwa kumlawiti mtoto hadi kusababisha kifo chake

Mbona naona aliekuwa anatetea mtoto asilawitiwe ndo kauawa.Huyo mpita njia alitoa wapi hicho kisu?.Huyo alieuawa ni mpitaji tu.Ila mwenyeji ambae ndie m'bakaji alikuwa na kisu akaamua kugeuza kibao kwa huyo mpita njia aliekuwa anatetea.MTAZAMO TU
 
The other gender again, [emoji119]
Tukisema hii jinsia ni laana itokomezwe ili dunia ibaki salama, tunaonekana haters.
Sasa mkuu tukiunga mkono ushauri wako, gender yote ikiangamizwa, ni nani atakayekulala wewe?
 
Mbona naona aliekuwa anatetea mtoto asilawitiwe ndo kauawa.Huyo mpita njia alitoa wapi hicho kisu?.Huyo alieuawa ni mpitaji tu.Ila mwenyeji ambae ndie m'bakaji alikuwa na kisu akaamua kugeuza kibao kwa huyo mpita njia aliekuwa anatetea.MTAZAMO TU
Rudia kusoma ili ufanye evaluetion.
 
Kila mtu mwenye akili timamu, anachukia vitendo vya unyanyasaji. Ila ni watu wachache wenye matatizo ya akili ndio wanachukia jinsia nzima ya kiume kwa upuuzi wa watu wachache!
Jinsia ya kiume ndio inayofanya huo unyanyasaji, ni lazima ichukiwe yenyewe
 
Kuna maisha apart from ngono, kama ukifungua akili
Una umri gani, labda kwa mzee kama mimi ndiyo waweza kuconclude hivyo, kwamba ya dunia yashakuchosha na hauna hamu nayo tena!

Lakini kwa hali ya kawaida na kama bado ni kijana, kukataa maunganiko ya kibaiolojia ya kiasili ya M/Mungu, huwa aidha kama siyo matatizo ya kisaikolijia basi ni mtizamo hasi unaotokana na malezi.

Binadamu tunategemeana sana katika muunganiko wa mwanaume na mwanamke.

Hata kama unaishi single, hiyo siyo sababu ya kutotegemea gender nyingine katika maisha.

Gender ya aina moja kama M/Mungu akiamua kuiperish, basi kwa hakika gender nyingine haiwezi kuhimili mikiki ya dunia hii kwa muda mrefu, maana yake nayo itaangamia.
 
Ni kijana mwenye nguvu ila ngono sio kipaumbele changu,
Ikitolewa gender korofi (Me) Dunia itapumua na kila kiumbe kitaishi kwa amani,

Uharibifu wote huletwa na gender ya Me.
 
"Ikitolewa gender korofi (me)"...
Sasa kwa kusahihisha context yako hiyo twaweza kwenda pa1.
 
Kama shahidi anasema ukweli. Na kama hasemi ukweli ?

Matanuri ya jehanamu hayataweza kulipiza kisasi cha kutosha kwa madhambi ya mtu huyu, ni makubwa kupindukia. Lakini mshutumiwa wa ulawiti na uuaji wa mtoto alipaswa kupewa haki jinai ya kisheria.

Haki jinai tunazoziongelea sio kwa wadokozi wadogo wadogo wa kuku au kwa wapinzani wanapokamatwa na majeshi ya CCM. Ni kwa kila mtu. Ukimpa haki jinai mtuhumiwa wa dhambi mbaya kuliko zote basi raia wengine wote tunahakikishiwa kupewa haki jinai zetu.

Hili pia linasaidia kuwanoa wanasheria wetu, wajifunze kutafuta na kuleta ushahidi mahakamani, na kuboresha tasnia nzima ya sheria, ambayo kwa sasa imefubaa, wanasheria wa serikali hawana uwezo tena.

Lingine la muhimu katika kumpa mtuhumiwa haki jinai ni nafasi ya kuhojiwa ambayo inaweza kuipa jamii mwanga wa kuelewa chimbuko la matatizo kama haya. Je ni magonjwa ya akili, au ni mhalifu mzoefu ambae mfumo sheria ulimrudisha mtaani. Au mhalifu alichagizwa na uzembe wetu wa kuacha vitoto vyetu vinatambaa uchi uchi nje ya nyumba, na vitu kama hivyo.

Na mwisho, kuna uwezekano kwamba huyu aliyechomwa moto huyu ndio alimfuma huyu "shahidi" akilawiti. Walipopigana marehemu akazidiwa nguvu na shahidi wa uongo, by the time wananchi wanafika, mhalifu ndio ana nguvu za kumnyooshea kidole shahidi wa ukweli. Wananchi wanapozidi kufika wanapiga yule waliyekuta anapigwa, ambae kumbe ndio alikuwa shahidi wa kweli.

Mkamateni, mpelekeni kwa Regional Crime Officer akapimwe, akikutwa na vinyesi na DNA ya mtoto mchukueni kamnyongeni. It is that simple.

Ndivyo wanavyofanya nchi walizoendelea. Huko kwa mob justice walishatoka, na walikuwa wanaziweza hizi style za hukumu kuliko sisi. Nyinyi mnamwagia mafuta dakika tano kakauka? Wazungu walikuwa wanafanya slow roasting, unafungwa kwenye chaga inaitwa "stake," unawashwa moto mdogo mdogo pembeni yako hapo, unabanikwa kwa mbali, unatoka jasho masaa matatu, unakauka baada ya masaa sita! Wakajiona wanakosea. Wakasema tumpeni mtuhumiwa kesi halafu tumnyonge.
Sijasema kwamba ni sahihi walichofanya hao wananchi. Bali kama shahidi anasema ukweli...
 
Sijasema kwamba ni sahihi walichofanya hao wananchi. Bali kama shahidi anasema ukweli...
hata kama shahidi alisema ukweli kamfuma marehemu anabaka mtoto, bado si sawa kumpa adhabu nje ya mifumo ya kisheria

tatizo letu third world hatuheshimu sheria, sheria ni kitu muhimu sana katika maendeleo ya nchi. Tunasema Rais amevunja sheria kusaini mkataba wa TPA kinyume na ibara ya 34 inayosema Rais sio bosi wa TPA. Mbona sisi wenyewe tunadharau sheria mitaani ?
 
Kwani nimesema adhabu aliyopewa ni sahihi?
 
Huyo alifaa alawitiwe na Kisu cha moto, kinawekwa kwenye moto mpaka kiwe chekundu, kisha kina zamishwa kwenye Anus.

Kisha wana tafutwa Siafu[emoji220]wanawekwa kwenye uume wang'ate ng'ate hasa pale kichwani.

Kisha wana tafuta ma plastiki wanaya choma moto, Ule uji uji wa plastiki una dondoshewa tena kwenye uume,

Baada ya hapo ni kuchukua tairi valisha mwagiwa petroli washa moto sasa....
 
Wananchi wenye hasira katika Kata ya Isanga, jijini Mbeya, wanadaiwa kumuua kwa kumchoma moto mtu ambaye hajafahamika jina lake, kwa tuhuma za kumlawili mtoto wa miaka mitano na kusababisha kifo chake.

Imeelezwa tukio hilo limetokea Juzi, Jumatatu Agosti 21, 2023 saa 1:45 usiku na kwamba wananchi wenye hasira wamefikia hatua hiyo kufuatia kuwepo kwa matukio kadhaa ya watoto kupotea.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Igoma ''A,'' Kata ya Isanga, Damian Mwasanguti, amesema kuwa mtu huyo aliyeuawa kwa kuchomwa moto, sio mkazi wa eneo hilo, huku akilaani kitendo cha ukatili kilichofanywa, dhidi ya mtoto.

“Kama kiongozi, baada ya kupata taarifa, nililazimika kufika eneo la tukio na kumkimbiza mtoto huyo hospitali...mtuhumiwa alikuwa akishambuliwa na wananchi lakini baadaye tukapigiwa simu kuwa amepoteza maisha baada ya kuchomwa moto,” amesema.

Baba wa mtoto aliyefariki, Benjamin Mwashilindi, ameiambia Mwananchi Digital kuwa yeye anarejea nyumbani kwake toka safari kikazi Makambako, mkoani Njombe, alipigiwa simu kuwa kuna tukio la mwanaye kulawitiwa na kupoteza maisha.

“Nilikuwa nimefika eneo la mlima nyoka nililazimika kuchukua usafiri wa pikipiki ili kuwahi ambapo nilipofika nyumbani nilikuta eneo la tukio kukiwa na mabegi na ndipo nikampigia simu mwenyekiti kujua wako wapi kwa muda huo,” amesema.

Kwa upande wake mjumbe wa nyumba kumi, Hadija Binti Masudi amesema akiwa anatoka kwenye shughuli zake za kuuza nguo, alisikia kelele za wananchi wakisema mtoto analawitiwa, ndipo alipotoka na kukuta akiwa hana nguo.

Akizungumzia tukio hilo mmoja wa mashuhuda ambaye pia ni jirani na jengo (pagala) ambalo kitendo hicho kinaidaiwa kufanyika, Shadrack Isaya, amesema alipopita katika eneo hilo alihisi harufu mbaya.

“Lakini nilipojaribu kusogea nikaona kuna njemba amevua suruali na nilitafuta upenyo zaidi kuona kulikoni, nikagundua chini yake kulikuwa na kama mtoto mdogo,” amesema na kuongeza;

“Ilikuwa giza, hivyo nililazimika kuwasha tochi ya simu ili kujua ni nini kinaendelea, nilipomulika ndipo mtuhumiwa alinyanyuka na kuanza kuvaa suruali...baada ya kumhoji kulikoni kufanya kitendo hicho, ghafla kurushia ngumi kisha kukatokea purukushani,” amesema.

Amesema kuwa baada ya kuona anaelemewa alitoa kisu na kumtishia huku akimueleza atakuja kufa kizembe ndipo wananchi walipojitokeza na kuanza kumshambulia kwa kipigo.

Mwananchi ilipomtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga, kuzungumzia tukio hilo hakuweza kupatikana, hata hivyo juhudi za kumtafuta kamanda huyo bado zinaendelea.

MWANANCHI
Aisee
 
Huyo alifaa alawitiwe na Kisu cha moto, kinawekwa kwenye moto mpaka kiwe chekundu, kisha kina zamishwa kwenye Anus.

Kisha wana tafutwa Siafu[emoji220]wanawekwa kwenye uume wang'ate ng'ate hasa pale kichwani.

Kisha wana tafuta ma plastiki wanaya choma moto, Ule uji uji wa plastiki una dondoshewa tena kwenye uume,

Baada ya hapo ni kuchukua tairi valisha mwagiwa petroli washa moto sasa....
Duh hapa mpaka msomaji mwili unasisimka hiyo adhabu ni balaa
 
Ushirikina,waganga wAtu wabaya sana,waganga wanagharimu maisha ya watu wengi sana,
 
Kama wamemzika wafukue kaburi, anatakiwa kuchomwa moto tena.
 
Back
Top Bottom