Sijui tuwalaumu wanaume au tumlaumu shetani.
Mbona hamtosheki ? Kifo ni adhabu sahihi.
Yaani huko kwa kamanda eti hawapokei simu, vile they don't care ?
Isanga mbeya kitongoji cha uchawi. Kuna miaka walikuwa wanadondoka na hizo ndege zao.
Pole mjukuu uliyedhulumiwa maisha. God take him to Ibrahim hands.