Auawa kwa kuchomwa moto akituhumiwa kumlawiti mtoto hadi kusababisha kifo chake

Mungu ni mwema aisee.

Nasoma mkataba wa Bandari, moja haikai wala mbili haisimami[emoji1787]
Acha kuusoma utavumbua mengine mazito upate presha bure rafiki yako bado nakuhitaji,

Uje tu beach tupate upepo wa bahari [emoji3060][emoji3060][emoji3060]
 
Ngoja nikukamate ndio tutajua kama mimi choko ama la. Nakutomba taratibu nahikikisha unafika kileleni mara kadhaa ukitazamana na mimi machoni unaloa unataka tena.
Tukisema hii jinsia ni ya hovyo mnapanic.... ndio maana mnabaka hadi kuku kwa kuwaza ushenzi kila muda
 
We una hasira na sisi kwani tulikubaka?
Huoni huyo mjaalana mwenzio alivyobaka mtoto na kumsababishia umauti na bado wajaalaana kama wewe mnamtetea... mfe tu tubaki na Ng'ombe walau watatupa maziwa na nyama
 
Hakuna mwanaume wa kuniumiza mimi, jinsia ya hovyo siwezi kuipa nafasi katika maisha yangu [emoji23]
Ndo uache utaahira.... usipowapa nafasi wewe inatosha usilazimishe kusambaza toxicity. Ungekuwa wa maana kama ungeacha kujiassociate na vitu vyote vinavyohusisha the other gender.
Ulivyo huna akili jamiiforum tu hii unayopayuka payuka ni wanaume walikaa wakatuletea kitu kama hiki.

Wasted sperm and egg. Kuna watoto wanawake tunazaa ni takataka
 
Huoni huyo mjaalana mwenzio alivyobaka mtoto na kumsababishia umauti na bado wajaalaana kama wewe mnamtetea... mfe tu tubaki na Ng'ombe walau watatupa maziwa na nyama
Sijatetea kitu, mi mwenyewe mtu kama huyo siwezi muonea huruma.
Huyo unamnywesha petrol afu unaiwasha asikilizie uchungu tokea ndani
 
Wananchi wenye hasira katika Kata ya Isanga, jijini Mbeya, wanadaiwa kumuua kwa kumchoma moto mtu ambaye hajafahamika jina lake, kwa tuhuma za kumlawili mtoto wa miaka mitano na kusababisha kifo chake.

Imeelezwa tukio hilo limetokea Juzi, Jumatatu Agosti 21, 2023 saa 1:45 usiku na kwamba wananchi wenye hasira wamefikia hatua hiyo kufuatia kuwepo kwa matukio kadhaa ya watoto kupotea.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Igoma ''A,'' Kata ya Isanga, Damian Mwasanguti, amesema kuwa mtu huyo aliyeuawa kwa kuchomwa moto, sio mkazi wa eneo hilo, huku akilaani kitendo cha ukatili kilichofanywa, dhidi ya mtoto.

“Kama kiongozi, baada ya kupata taarifa, nililazimika kufika eneo la tukio na kumkimbiza mtoto huyo hospitali...mtuhumiwa alikuwa akishambuliwa na wananchi lakini baadaye tukapigiwa simu kuwa amepoteza maisha baada ya kuchomwa moto,” amesema.

Baba wa mtoto aliyefariki, Benjamin Mwashilindi, ameiambia Mwananchi Digital kuwa yeye anarejea nyumbani kwake toka safari kikazi Makambako, mkoani Njombe, alipigiwa simu kuwa kuna tukio la mwanaye kulawitiwa na kupoteza maisha.

“Nilikuwa nimefika eneo la mlima nyoka nililazimika kuchukua usafiri wa pikipiki ili kuwahi ambapo nilipofika nyumbani nilikuta eneo la tukio kukiwa na mabegi na ndipo nikampigia simu mwenyekiti kujua wako wapi kwa muda huo,” amesema.

Kwa upande wake mjumbe wa nyumba kumi, Hadija Binti Masudi amesema akiwa anatoka kwenye shughuli zake za kuuza nguo, alisikia kelele za wananchi wakisema mtoto analawitiwa, ndipo alipotoka na kukuta akiwa hana nguo.

Akizungumzia tukio hilo mmoja wa mashuhuda ambaye pia ni jirani na jengo (pagala) ambalo kitendo hicho kinaidaiwa kufanyika, Shadrack Isaya, amesema alipopita katika eneo hilo alihisi harufu mbaya.

“Lakini nilipojaribu kusogea nikaona kuna njemba amevua suruali na nilitafuta upenyo zaidi kuona kulikoni, nikagundua chini yake kulikuwa na kama mtoto mdogo,” amesema na kuongeza;

“Ilikuwa giza, hivyo nililazimika kuwasha tochi ya simu ili kujua ni nini kinaendelea, nilipomulika ndipo mtuhumiwa alinyanyuka na kuanza kuvaa suruali...baada ya kumhoji kulikoni kufanya kitendo hicho, ghafla kurushia ngumi kisha kukatokea purukushani,” amesema.

Amesema kuwa baada ya kuona anaelemewa alitoa kisu na kumtishia huku akimueleza atakuja kufa kizembe ndipo wananchi walipojitokeza na kuanza kumshambulia kwa kipigo.

Mwananchi ilipomtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga, kuzungumzia tukio hilo hakuweza kupatikana, hata hivyo juhudi za kumtafuta kamanda huyo bado zinaendelea.

MWANANCHI
Daah miaka mi 5 bado mdogo sana Cha kujiuliza alikuwa anaishi na nani mbona mazingira ni kama vile alikuwa peke yake? Binafsi binti yangu nikiwa nyumbn zikipita dk 5 sijamuona Wala kusikia sauti yake lazima nitoke nje kumtafuta, wazazi tuwe makini na watoto wetu
 
Ndo uache utaahira.... usipowapa nafasi wewe inatosha usilazimishe kusambaza toxicity. Ungekuwa wa maana kama ungeacha kujiassociate na vitu vyote vinavyohusisha the other gender.
Ulivyo huna akili jamiiforum tu hii unayopayuka payuka ni wanaume walikaa wakatuletea kitu kama hiki.

Wasted sperm and egg. Kuna watoto wanawake tunazaa ni takataka
Hahahahahaha napenda sana kuiona the other gender ikipanic.... nyie ni takataka hamfai kuendelea kuwepo kwenye ulimwengu uliostaarabika.... mfe wote na mteketeeee

#Maumivu yakikuzidi kajinyonge mapema kabla hamjachomwa kwa moto wa blue [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wananchi wenye hasira katika Kata ya Isanga, jijini Mbeya, wanadaiwa kumuua kwa kumchoma moto mtu ambaye hajafahamika jina lake, kwa tuhuma za kumlawili mtoto wa miaka mitano na kusababisha kifo chake.

Imeelezwa tukio hilo limetokea Juzi, Jumatatu Agosti 21, 2023 saa 1:45 usiku na kwamba wananchi wenye hasira wamefikia hatua hiyo kufuatia kuwepo kwa matukio kadhaa ya watoto kupotea.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Igoma ''A,'' Kata ya Isanga, Damian Mwasanguti, amesema kuwa mtu huyo aliyeuawa kwa kuchomwa moto, sio mkazi wa eneo hilo, huku akilaani kitendo cha ukatili kilichofanywa, dhidi ya mtoto.

“Kama kiongozi, baada ya kupata taarifa, nililazimika kufika eneo la tukio na kumkimbiza mtoto huyo hospitali...mtuhumiwa alikuwa akishambuliwa na wananchi lakini baadaye tukapigiwa simu kuwa amepoteza maisha baada ya kuchomwa moto,” amesema.

Baba wa mtoto aliyefariki, Benjamin Mwashilindi, ameiambia Mwananchi Digital kuwa yeye anarejea nyumbani kwake toka safari kikazi Makambako, mkoani Njombe, alipigiwa simu kuwa kuna tukio la mwanaye kulawitiwa na kupoteza maisha.

“Nilikuwa nimefika eneo la mlima nyoka nililazimika kuchukua usafiri wa pikipiki ili kuwahi ambapo nilipofika nyumbani nilikuta eneo la tukio kukiwa na mabegi na ndipo nikampigia simu mwenyekiti kujua wako wapi kwa muda huo,” amesema.

Kwa upande wake mjumbe wa nyumba kumi, Hadija Binti Masudi amesema akiwa anatoka kwenye shughuli zake za kuuza nguo, alisikia kelele za wananchi wakisema mtoto analawitiwa, ndipo alipotoka na kukuta akiwa hana nguo.

Akizungumzia tukio hilo mmoja wa mashuhuda ambaye pia ni jirani na jengo (pagala) ambalo kitendo hicho kinaidaiwa kufanyika, Shadrack Isaya, amesema alipopita katika eneo hilo alihisi harufu mbaya.

“Lakini nilipojaribu kusogea nikaona kuna njemba amevua suruali na nilitafuta upenyo zaidi kuona kulikoni, nikagundua chini yake kulikuwa na kama mtoto mdogo,” amesema na kuongeza;

“Ilikuwa giza, hivyo nililazimika kuwasha tochi ya simu ili kujua ni nini kinaendelea, nilipomulika ndipo mtuhumiwa alinyanyuka na kuanza kuvaa suruali...baada ya kumhoji kulikoni kufanya kitendo hicho, ghafla kurushia ngumi kisha kukatokea purukushani,” amesema.

Amesema kuwa baada ya kuona anaelemewa alitoa kisu na kumtishia huku akimueleza atakuja kufa kizembe ndipo wananchi walipojitokeza na kuanza kumshambulia kwa kipigo.

Mwananchi ilipomtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga, kuzungumzia tukio hilo hakuweza kupatikana, hata hivyo juhudi za kumtafuta kamanda huyo bado zinaendelea.

MWANANCHI
Bora wamemsulubisha mshenzi huyo. Chanzo cha kuwepo mashoga wengi ni kubakwa wakiwa watoto kwa kurubuniwa au kwa nguvu.
Alaaniwe mshenzi huyo na roho yake iteseke milele.
 
Sijatetea kitu, mi mwenyewe mtu kama huyo siwezi muonea huruma.
Huyo unamnywesha petrol afu unaiwasha asikilizie uchungu tokea ndani
Kidoooogo unataka kujielewa ila bado hujashawishi hiyo gender yenu ionewe huruma... mfe tu tumewachoka [emoji41]
 
Acha kuusoma utavumbua mengine mazito upate presha bure rafiki yako bado nakuhitaji,

Uje tu beach tupate upepo wa bahari [emoji3060][emoji3060][emoji3060]
🤣🤣kweli aisee.
Nilikuwa nimeshika mkataba kulia, na kushoto nimeshika waraka, mezani kuna hukumu ya HC Mbeya.

Cha kufia nini, nakuja kula upepo bana😀
 
[emoji1787][emoji1787]kweli aisee.
Nilikuwa nimeshika mkataba kulia, na kushoto nimeshika waraka, mezani kuna hukumu ya HC Mbeya.

Cha kufia nini, nakuja kula upepo bana[emoji3]
Karibu kwa kweli, tujilie zetu kisinia tukishushia na Black and White huku live band ikituburudisha,

Keki ya Taifa is not for everybody, wengine tunawasindikiza tu.
 
The other gender again, [emoji119]
Tukisema hii jinsia ni laana itokomezwe ili dunia ibaki salama, tunaonekana haters.
Kwa hiyo tubaki wanawake pekee halafu kizazi kitaendeleaje duniani? Nani atatukaza?
Samahani, wewe Ni mpumbavu
 
Back
Top Bottom