Auawa kwa risasi wakati akijaribu kuwakimbia Polisi

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Screenshot 2026-09-30 at 16-01-03 Instagram.png

Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Nanei Kokan State, mwenye umri wa miaka 30 na mkazi wa Kijiji cha Parakuyo, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi wakati akidaiwa kuzuia kukamatwa na askari Polisi.

Marehemu alikuwa akikabiliwa na tuhuma mbalimbali, ikiwemo mauaji, ubakaji na wizi wa kutumia silaha

Pia soma: Video: Polisi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi Kilosa
 
Kama tuhuma zilizokuwa zinamkabili ni kweli basi lolote limkute huko aendako..

rest in pain
 
Duh huyo alikuwa mtukutu kichwa ngumu !

Ova
 
Kiurahisi tu iaminike marehemu alikuwa muhalifu?Kwanza,kwa taarifa kutoka kwa nani anayeaminika?
 
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Nanei Kokan State, mwenye umri wa miaka 30 na mkazi wa Kijiji cha Parakuyo, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi wakati akidaiwa kuzuia kukamatwa na askari Polisi.

Marehemu alikuwa akikabiliwa na tuhuma mbalimbali, ikiwemo mauaji, ubakaji na wizi wa kutumia silaha

Pia soma: Video: Polisi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi Kilosa
Parakuyo kuna wamasai wengi sana hapo

POLISI HAMUAMINIKI, SI AJABU HAO NI WA CHADEMA, HAMUAMINIKI
 
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Nanei Kokan State, mwenye umri wa miaka 30 na mkazi wa Kijiji cha Parakuyo, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi wakati akidaiwa kuzuia kukamatwa na askari Polisi.

Marehemu alikuwa akikabiliwa na tuhuma mbalimbali, ikiwemo mauaji, ubakaji na wizi wa kutumia silaha

Pia soma: Video: Polisi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi Kilosa
Kumbe ukipigwa risasi mkononi unapoteza maisha, mmh!
 
Polisi wa Bongo kwao kumuua mtu siyo kesi. Watakuambia marehemu alikuwa na sime, akamteka mama na mtoto wake. Polisi walipofika walimpiga risasi ya mkononi, akafariki! Simple like that?
 
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Nanei Kokan State, mwenye umri wa miaka 30 na mkazi wa Kijiji cha Parakuyo, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi wakati akidaiwa kuzuia kukamatwa na askari Polisi.

Marehemu alikuwa akikabiliwa na tuhuma mbalimbali, ikiwemo mauaji, ubakaji na wizi wa kutumia silaha

Pia soma: Video: Polisi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi Kilosa
Shida ni kwamba police wa nchi hii hawaaminiki hata kidogo, washapoteza credit kwenye jamii.
Kutunga uongo ni rahisi sana lkn impact yake ndo kama hivyo! Kila wanachokisema hata kama ni kweli inaonekana ni mauongo Yao ya siku zote.

In short kuwaamini police hawa lazima uwe na kauchizi kidogo.
 
Back
Top Bottom