Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Nanei Kokan State, mwenye umri wa miaka 30 na mkazi wa Kijiji cha Parakuyo, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi wakati akidaiwa kuzuia kukamatwa na askari Polisi.
Marehemu alikuwa akikabiliwa na tuhuma mbalimbali, ikiwemo mauaji, ubakaji na wizi wa kutumia silaha
Pia soma: Video: Polisi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi Kilosa