Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Kwa hiyo na wewe unashabikia ugaidi?All Shabab watakuja kenya na wataondoka na roho za wakenya wasio na hatia 80+!
Wakenya mtakapo pewa suprise na all shabab muwe wapole!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo na wewe unashabikia ugaidi?All Shabab watakuja kenya na wataondoka na roho za wakenya wasio na hatia 80+!
Wakenya mtakapo pewa suprise na all shabab muwe wapole!
Acheni uzushi, je kuna kitu gani kinaonesha ni gaidi??? Mbona huyo anaonekana ni mpita njia tu ambaye kauliwa. Inasikitisha sana kama tutauana kwa kisingizio cha muonekano. Ifikie pahala tuaminiane.
Hata hapa kwetu wapo ila huwezi kuwaona. Tena wapo darini wanasoma mchezo wote 24/7.na ubaloz unalindwa na fbi mm nilijua unalindwa na askar wa marekan
All Shabab watakuja kenya na wataondoka na roho za wakenya wasio na hatia 80+!
Wakenya mtakapo pewa suprise na all shabab muwe wapole!
Reference zako ni za hapa JF, walio andika na picha wakaweka wako eneo la tukio, wa tz tatizo mnasoma kujibu na sio kuelewaAcheni uzushi, je kuna kitu gani kinaonesha ni gaidi??? Mbona huyo anaonekana ni mpita njia tu ambaye kauliwa. Inasikitisha sana kama tutauana kwa kisingizio cha muonekano. Ifikie pahala tuaminiane.
FBI wapo, ila ni mara chaceh sana kuonekana. Uballozinwa Marekani Tanzania unalindwa na FFU kwa nje tu, ila kwenye mitambo mle ndani wako wao wenyewe!na ubaloz unalindwa na fbi mm nilijua unalindwa na askar wa marekan
Basi huku kwetu wangeuawa wengi, maana wengi wanatembea na visu hasa watu wazima haijalishi kabila gani, anakuwa na kisu chake kiunoni wala hakuna anayejua, wenyewe wanakwambia me lazima awe kisu kiunoni.Gaidi akiwa na Kisu Hahahaaa ngoja tuwaonye wamasai wakae mbali na balozi.
kweli mkuu, askari wa usa wanaonekana wako tayari kwa lolote "armed to the teeth"
Hatetei mkuu kwa mwenye akili lazima aongee hivyo, maana hizo picha na maelezo hazina ushawishi wa kuaminisha kwamba jamaa alikuwa gaidi, sasa unategemea nini kama sio kupanda chuki kwamba msomali yeyote anayepita eneo hilo ni gaidi. Sehemu kama ile gaidi aende na kakisu kiunoni? AhahahahahahaaKwa hiyo na wewe unashabikia ugaidi?
Cyber crime na wengine huyu ni mteja wenu, anajua mambo mengi ya ugaidi kazi kwenuAll Shabab watakuja kenya na wataondoka na roho za wakenya wasio na hatia 80+!
Wakenya mtakapo pewa suprise na all shabab muwe wapole!
Duuh hata kugeuka hutaki, ila kweli tahadhari ni muhimuNdio maana mie nikipita pale ubalozi wa marekani sitaki hata kugeuka,wanaweza kukufananisha na gaidi ikawa shida.
alimshambulia officer na kisu wakapigana hadi officer akaanguka, huyo jamaa akawa anajaribu kumdunga kichwa lakini oficer alikua anazulia na mkono (shahidi mmoja aliekua karibu alisema baadae huyo officer alionekana akitoka damu usoni na mkononi) wakiwa hapo chini ndo huyo oficer aliweza kumsukuma huyo jamaa, hapo ndo alipata wakati wa kunyosha bunduki na kufyatua mara tatu, alafu askari mwengine alikua amesimama mlango mwengine ndo aliweza kufika na kummaliza kabisa akiwa bado anayumba yumba aliponguka chini......Hatetei mkuu kwa mwenye akili lazima aongee hivyo, maana hizo picha na maelezo hazina ushawishi wa kuaminisha kwamba jamaa alikuwa gaidi, sasa unategemea nini kama sio kupanda chuki kwamba msomali yeyote anayepita eneo hilo ni gaidi. Sehemu kama ile gaidi aende na kakisu kiunoni? Ahahahahahahaa
Umeongea vizuri nikakuelewa sana sasa umeharibu pale kwa Jirani, mafunzo ya dini yanaamrisha kumtendea wema Jirani yako, hayo mengine labda umeyatoa kwenye youtube, wewe unajua kabisa chuki na dharau za ujirani ni akina nani wanazo. Ninaye hapa Jirani yangu kajitoa fahamu kwa kila kitu na kazungukwa na Islam mbona hawajamfanya chochote?alimshambulia officer na kisu wakapigana hadi officer akaanguka, huyo jamaa akawa anajaribu kumdunga kichwa lakini oficer alikua anazulia na mkono (shahidi mmoja aliekua karibu alisema baadae huyo officer alionekana akitoka damu usoni na mkononi) wakiwa hapo chini ndo huyo oficer aliweza kumsukuma huyo jamaa, hapo ndo alipata wakati wa kunyosha bunduki na kufyatua mara tatu, alafu askari mwengine alikua amesimama mlango mwengine ndo aliweza kufika na kummaliza kabisa akiwa bado anayumba yumba aliponguka chini......
alafu migitu inakuja kumtetea eti Inna lillahi wa inna ........
Mahali kama pale balozi ya umarekani hua GSU wamekita, ukijitokeza na bunduki hautabaki hata sekunde, unajuaje kama lengo la huyu jamaa ilikua ni kumua yule askari haraka na kuchukua bunduki lake na kutumia kuua wengine?????
huyu ni yule gaidi anaitwa lorn wolf attack, Lone wolf (terrorism) - Wikipedia
hawa hua ni hatari sana kuzuia, ni mtu wa kawaida ambaye amepata vifunzo kupitia youtube na facebook, anaingia wazimu na kuchukua silaha pekeyake na kujaribu kufanya tendo la kigaidi kutokana na mwito au mawaidha ya wakuu wanaongoza bikundi vya kigaidi wanaotangaza waislamu wote popote walipo, wachukue silaha na kuua jirani zao ambao si waislamu bali makafiri
mimi naongelea kuhusu magaidi wanvyosema, sijaongelea kuhusu nini dini ya kiislamu inavyosemaUmeongea vizuri nikakuelewa sana sasa umeharibu pale kwa Jirani, mafunzo ya dini yanaamrisha kumtendea wema Jirani yako, hayo mengine labda umeyatoa kwenye youtube, wewe unajua kabisa chuki na dharau za ujirani ni akina nani wanazo. Ninaye hapa Jirani yangu kajitoa fahamu kwa kila kitu na kazungukwa na Islam mbona hawajamfanya chochote?