"Auaye kwa upanga atakufa kwa upanga " mathayo 26:52

Ukivamiwa jitetee.

Ukitumiwa watu wasiojulikana, hoji.

Ukiwekewa sumu kwenye chakula,bahati mbaya.

Ukimwagiwa conc. Sulfuric acid, bahati mbaya.

Hii ndiyo Africa yetu.
Viongozi wa afrika wanamatatizo ya afya ya akili
 
Unamuweka mtu ndani kwa zaidi ya siku 28 kwa kosa lenye dhamana. NCHI HII INA LAANA, ya Machi 2021 lazima yatajirudia muda si mrefu

yako mlangoni, na iwe hivyo tu maana hamna namna !
 
Wanasiasa wa hili taifa wanamwaga Damu sana
 
Mwinjilisti ni mtu mzito sana.

Unaonaje kama ukienda kwenye ofisi zao na ukawaeleza yanayo kukera.

Sio wote wapo JF.
Ujumbe umefika mkuu, kuna watu wao wapo humu,watawafikishia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…