Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamuweka mtu ndani kwa zaidi ya siku 28 kwa kosa lenye dhamana. NCHI HII INA LAANA, ya Machi 2021 lazima yatajirudia muda si mrefu
Leo naingia bila salamu! " What goes around comes around"
Mungu amekasilika sana Juu ya mambo yanayoendelea Tanzania.
Wanasiasa mnalingiza taifa kwenye laana, hiyo mipango yenu mibaya juu" kiti cha enzi" Mungu haupendi kabisa na amechukia sana.
Madaraka yana mwisho wake, mbona fedha nyingi mnazo , mmeficha fedha karibuni kila bank kuu za dunia hii, lakini BAdo hamjalizika, mnamwaga damu za watu kisa madaraka,na fedha.
Uovu na mauwaji mnayopanga juu ya" big fishes" na watu wasio na hatia ni kuwatesa wananchi na kulingiza taifa kwenye laana kubwa sana. Ivi nyie " machichidodo" mtauwana mpaka lini? Kisa kiti! Kisa fedha.
Ninawaamuru kwa jina la Yesu alie hai hacheni mipango yenu hiyo mara moja.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Ndio mkuu,wanahatarisha laaana juu ya taifa letu pendwa
Mwinjilisti ni mtu mzito sana.Viongozi wa afrika wanamatatizo ya afya ya akili