GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
yetu machoWiki iliyopita GENTAMYCINE nilikuomba Wewe Mrogaji wake ambaye ni Kiboko ya Kipa Diara kuwa mrudishie haraka Soksi yake uliyoiiba Bunju na kuipeleka kwa Mtaalam Mbeya na Kigoma hukutaka kunisikia sasa Jamaa ( Aubin Kramo ) yuko njiani kurejea kutoka Kwao na kasema lazima akulipizie Kisasi kwa Kumtesa Kwako huku ukiwa hata Kufunga kwenyewe Magoli hufungi zaidi tu ya Miguvu guvu yako isiyo na msaada kivile.
Kazi ipo.....!!
Hivi marasta nao wamo kwenye haya mambo ya 'kiswahili'?Mrogaji wake ambaye ni Kiboko ya Kipa Diara
Si umtaje tu kibu dinhoWiki iliyopita GENTAMYCINE nilikuomba Wewe Mrogaji wake ambaye ni Kiboko ya Kipa Diara kuwa mrudishie haraka Soksi yake uliyoiiba Bunju na kuipeleka kwa Mtaalam Mbeya na Kigoma hukutaka kunisikia sasa Jamaa ( Aubin Kramo ) yuko njiani kurejea kutoka Kwao na kasema lazima akulipizie Kisasi kwa Kumtesa Kwako huku ukiwa hata Kufunga kwenyewe Magoli hufungi zaidi tu ya Miguvu guvu yako isiyo na msaada kivile.
Kazi ipo.....!!
Anarejea na Hirizi Mabegi Mawili watamkoma!!yetu macho
Acha kunipotezea muda Simbilizi Wewe sawa?Bidii ya KIBU Denis Uwanjani ni kubwa mno.
Zamani Simba ilikuwa inategemea Mafundi WATUPU sasa Simba Imehama kutoka Mafundi na kwenda kwa wachezaji wenye Bidii wanaojituma mno wafia timu kama;
KIBU Denis Unayemuandama.
Mzamiru yassin.
Saido Ntibazonkiza.
Sadio Kanute nk.
HAO ni wachezaji wagumu mno wako fiti kuliko mchezaji yoyote Tanzania...
Mfano Mzamiru Workrate yake ni KM 16 kwa mchezo
Chama anakimbia km 5 tu.
FIKICHA AKILI WEWE LICHAWI.
Acha kunipotezea muda Simbilizi Wewe sawa?Akili za kimasikini siku zote ndio mawazo Yao.
Kurogana, UCHAWI, USHIRIKINA nk.
Ukizidisha KUAMINI UCHAWI na NGUVU za GIZA na wewe Lazima uwe mchawi.
WEWE NI MCHAWI NA MADA ZAKO ZA KICHOCHEZI, UCHONGANISHI NA MAFARAKANO.
PUMBAFU KABISA.
GENTAMYCINE ni Taahira kuliko Aliyekuzaa?Hili jamaa ni TAHIRA sana Kila Mtu akiumia lenyewe linaamini Amerogwa.
Sema Uongozi WA JF ndio unaolipa Mailage
Kutuletea MADA , a KIPUMBAFU hapa Jukwaani
FROM GREAT THINKER TO FULIISHIII.
Ndiyo 'anayekuweka' 24/7 au?Si umtaje tu kibu dinho
unatafuta mume dada?mbona unalalamika kwamambo madogo sana?Hili jamaa ni TAHIRA sana Kila Mtu akiumia lenyewe linaamini Amerogwa.
Sema Uongozi WA JF ndio unaolipa Mailage
Kutuletea MADA , a KIPUMBAFU hapa Jukwaani
FROM GREAT THINKER TO FULIISHIII.
'Baaaaasi inatosha' in Zomboko voiceHili jamaa ni TAHIRA sana Kila Mtu akiumia lenyewe linaamini Amerogwa.
Sema Uongozi WA JF ndio unaolipa Mailage
Kutuletea MADA , a KIPUMBAFU hapa Jukwaani
FROM GREAT THINKER TO FULIISHIII.
ANGALIZOHuu uzi ni upuuzi mtupu. Tumia akili yako kutafakari kabla ya kupost maneno ta kuokoteza kwenye vijiwe vya Kahawa. Pale Karume karibu na TFF. We jamaa nilishakwambia tafuta msaada wa Kisaikolojia maana afya yako ya akili haiko sawa.