Bundakwetu
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 551
- 1,014
Na kwa rejea ya mzee Rage ambaye Ni kiongozi wa zamani hapo Ukolokoloni, Ni kwamba Simba SC Ina wanachama, mashabaki na viongozi wasio na akili yaani mbumbumbu wasiojielewa including wewe. Hapo Napo vipi?Hata Morison tuliambiwa amesaini miaka MIWILI kumbe ni miezi sita 6.
"Pale Yanga wenye akili ni wawili tu.
Mzee KIKWETE na Mazee Manara".
Haji Sunday Manara.
Msemaji wa Yanga.
WAJINGA ndio waliwao
Yanga wote ni mataahiraNa kwa rejea ya mzee Rage ambaye Ni kiongozi wa zamani hapo Ukolokoloni, Ni kwamba Simba SC Ina wanachama, mashabaki na viongozi wasio na akili yaani mbumbumbu wasiojielewa including wewe. Hapo Napo vipi?
Kasoro wawili, ila simba wote ni vichwa nazi, haikuwa kazi kubwa mo kuweka lile geresha la 20b.Yanga wote ni mataahira
Nimesema wote ni mataahiraKasoro wawili, ila simba wote ni vichwa nazi, haikuwa kazi kubwa mo kuweka lile geresha la 20b.
Aongeze tena mingine mitatu iwe mitano azeekee kwny umasikini[emoji196][emoji196][emoji196]Kiungo mkabaji kutoka Uganda amesaini tena miaka miwili kuwatumikia Yanga.
Mumlipe vizuri mwakani msije mkaliaKiungo mkabaji kutoka Uganda amesaini tena miaka miwili kuwatumikia Yanga.
Madunduka bhana. Sasa makasiriko yanini?Hata Morison tuliambiwa amesaini miaka MIWILI kumbe ni miezi sita 6.
"Pale Yanga wenye akili ni wawili tu.
Mzee KIKWETE na Mazee Manara".
Haji Sunday Manara.
Msemaji wa Yanga.
WAJINGA ndio waliwao
Kile kipengele cha mchezaji kununua mkataba,wanasheria wa Yanga wamekizingatia? Isije wakajichanganya kama wa FaisalKiungo mkabaji kutoka Uganda amesaini tena miaka miwili kuwatumikia Yanga.
Mbumbumbu, ngada fc, makolo see thisHata Morison tuliambiwa amesaini miaka MIWILI kumbe ni miezi sita 6.
"Pale Yanga wenye akili ni wawili tu.
Mzee KIKWETE na Mazee Manara".
Haji Sunday Manara.
Msemaji wa Yanga.
WAJINGA ndio waliwao
Hebu tusaidie unafanyaje hesabu zako hadi unapata miaka 2 kuanzia 2023 hadi 2024?Tunaendelea tulipoishia
#WANANCHI