Aucho Khalid asaini miaka miwili Yanga

Aucho Khalid asaini miaka miwili Yanga

Hata Morison tuliambiwa amesaini miaka MIWILI kumbe ni miezi sita 6.

"Pale Yanga wenye akili ni wawili tu.
Mzee KIKWETE na Mazee Manara".
Haji Sunday Manara.
Msemaji wa Yanga.

WAJINGA ndio waliwao
 
Hata Morison tuliambiwa amesaini miaka MIWILI kumbe ni miezi sita 6.

"Pale Yanga wenye akili ni wawili tu.
Mzee KIKWETE na Mazee Manara".
Haji Sunday Manara.
Msemaji wa Yanga.

WAJINGA ndio waliwao
Na kwa rejea ya mzee Rage ambaye Ni kiongozi wa zamani hapo Ukolokoloni, Ni kwamba Simba SC Ina wanachama, mashabaki na viongozi wasio na akili yaani mbumbumbu wasiojielewa including wewe. Hapo Napo vipi?
 
Yanga wote ni mataahira
 
Hata Morison tuliambiwa amesaini miaka MIWILI kumbe ni miezi sita 6.

"Pale Yanga wenye akili ni wawili tu.
Mzee KIKWETE na Mazee Manara".
Haji Sunday Manara.
Msemaji wa Yanga.

WAJINGA ndio waliwao
Madunduka bhana. Sasa makasiriko yanini?
JamiiForums-591170228.gif
 
Kiungo mkabaji kutoka Uganda amesaini tena miaka miwili kuwatumikia Yanga.
Kile kipengele cha mchezaji kununua mkataba,wanasheria wa Yanga wamekizingatia? Isije wakajichanganya kama wa Faisal
 
Hata Morison tuliambiwa amesaini miaka MIWILI kumbe ni miezi sita 6.

"Pale Yanga wenye akili ni wawili tu.
Mzee KIKWETE na Mazee Manara".
Haji Sunday Manara.
Msemaji wa Yanga.

WAJINGA ndio waliwao
Mbumbumbu, ngada fc, makolo see this
 
Attachments

  • Aucho.jpg
    Aucho.jpg
    86.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom