Aucho, Mkude, na Chama kuelekea kuiaga Yanga Je, wanastahili kucheza timu gani kwenye ligi ya NBC?

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Klabu ya Yanga SC iko mbioni kuingia kwenye ukurasa mpya wa kikosi chake baada ya taarifa kuibuka kuwa baadhi ya nyota wake wakongwe na mahiri kama Khalid Aucho, Jonas Mkude, na Clatous Chama huenda wakaondoka mwisho wa msimu huu.

Kwa mujibu wa ripoti kutoka vyanzo vya ndani ya klabu pamoja na vyombo vya habari vya michezo, maamuzi ya mabadiliko haya yanatokana na mikakati ya maboresho ya kikosi kuelekea msimu ujao na michuano ya kimataifa.

Taja jina la timu unayoona ni sahihi kwake ndani ya ligi ya Tanzania.
🟨 Aucho ➡️ ?
🟥 Mkude ➡️ ?
🟦 Chama ➡️ ?
1753560846770.png

1753560956047.png

1753561121017.jpeg
 
CHAMA WASIMUUZE. ATATUSAIDIA SANA. ANA UZOEFU NA MATCHES ZA KIMATAIFA.
 
Yanga bado hawajajifunza tu kutokana na makosa ya nyuma. Simba wakiachana na mchezaji mjue kuwa kiwango kimeshuka kuweza kufiti au kuchezea timu ya kariba yake. Haya sasa mara hii mmeamua kuachana na Mkude na Chama.
 
Klabu ya Yanga SC iko mbioni kuingia kwenye ukurasa mpya wa kikosi chake baada ya taarifa kuibuka kuwa baadhi ya nyota wake wakongwe na mahiri kama Khalid Aucho, Jonas Mkude, na Clatous Chama huenda wakaondoka mwisho wa msimu huu.

Kwa mujibu wa ripoti kutoka vyanzo vya ndani ya klabu pamoja na vyombo vya habari vya michezo, maamuzi ya mabadiliko haya yanatokana na mikakati ya maboresho ya kikosi kuelekea msimu ujao na michuano ya kimataifa.

Taja jina la timu unayoona ni sahihi kwake ndani ya ligi ya Tanzania.
🟨 Aucho [emoji3591] ?
🟥 Mkude [emoji3591] ?
🟦 Chama [emoji3591] ?
Umeandika "huenda wakaondoka mwishoni mwa msimu huu" ni msimu upi huo unaouita huu?
Msimu mpya bado haujaanza na msiku uliopita umeshapita. Ungeandika "katika dirisha hili la usajili"
 
Klabu ya Yanga SC iko mbioni kuingia kwenye ukurasa mpya wa kikosi chake baada ya taarifa kuibuka kuwa baadhi ya nyota wake wakongwe na mahiri kama Khalid Aucho, Jonas Mkude, na Clatous Chama huenda wakaondoka mwisho wa msimu huu.

Kwa mujibu wa ripoti kutoka vyanzo vya ndani ya klabu pamoja na vyombo vya habari vya michezo, maamuzi ya mabadiliko haya yanatokana na mikakati ya maboresho ya kikosi kuelekea msimu ujao na michuano ya kimataifa.

Taja jina la timu unayoona ni sahihi kwake ndani ya ligi ya Tanzania.
🟨 Aucho ➡️ ?
🟥 Mkude ➡️ ?
🟦 Chama ➡️ ?
Singida big stars
 
Yanga bado hawajajifunza tu kutokana na makosa ya nyuma. Simba wakiachana na mchezaji mjue kuwa kiwango kimeshuka kuweza kufiti au kuchezea timu ya kariba yake. Haya sasa mara hii mmeamua kuachana na Mkude na Chama.
Kuna malengo ya muda mfupi na muda mrefu. Hao wote waliotoka Simba waliisaidia Yanga walipohitajika kwenye malengo ya muda mfupi na kufanikisha kutwaa ubingwa. Hivyo Yanga haina cha kujifunza huo ni mpango endelevu wa tangu enzi.

Mfano Mohamed Hussein akisajiliwa Yanga si kwamba hakuna beki wa kushoto kwamba yeye ataingia moja kwa moja first eleven yupo Boca. Uwepo utaongeza bidii ya Boca uwanjani na ikitokea ameumia au kuhitaji kupumzishwa pia Mohamed atakuwa msaada kwa timu. Lakini ikitokea akaaminika kuwa first eleven starter litakuwa jambo jema pia. Chama na Mkude walipokuwa wanasajiliwa walijua kuna watu na viongozi wa Yanga walijua wanataka nini.
 
Wote waende Mbeya city, timu zenye ushindani ziongezeke.
 
Back
Top Bottom