Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,270 Reaction score 111,361 Jul 27, 2025 #21 Ukiacha Aucho, hao wengine wawili walikuwa Yanga kama wachezaji wa ziada...
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 13,538 Reaction score 21,664 Jul 27, 2025 #22 Hakuna mchezaji wa kumzidi Aucho na Chama hapo Yanga labda kama wameona wanawalipa pesa nyingi
DELETED ACCOUNT JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 9,805 Reaction score 15,476 Jul 27, 2025 #23 Yanga imeona aibu kujaza wachezaji wa Simba, imeamua kuwapunguza ili kutoa nafasi kwa Zimbwe. Sikujua hii timu wana mshipa wa aibu, nimeshangaa sana.
Yanga imeona aibu kujaza wachezaji wa Simba, imeamua kuwapunguza ili kutoa nafasi kwa Zimbwe. Sikujua hii timu wana mshipa wa aibu, nimeshangaa sana.