Aucho: Nitacheza Yanga SC hadi Rais Hersi atakaposema sipo tena kwenye mpango wa timu

Aucho: Nitacheza Yanga SC hadi Rais Hersi atakaposema sipo tena kwenye mpango wa timu

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Kiungo wa Yanga Khalid Aucho akifanya mahojiano na Muandishi wa habari kutoka Uganda hapo jana alipoulizwa kuhusu kuondoka Yanga alijibu kuwa bado yupo Yanga mpaka Siku Injinia na Gsm waseme Aucho sasa basi
.
"Nashukuru kwa mapenzi ya wananchi na mimi nafurahi sana kucheza Yanga, mimi nipo Yanga mpaka siku nitakapo ambiwa sipo tena kwenye mpango wa timu.
 
Anaeamua awe kwenye mipango ya timu au asiwe kwenye mipango ya timu ni Eng. Hersi au kocha?
 
Ametakwa na nani akawakataa na akaamua hivi?
 
Hivi Aucho kamzidi miaka mingapi engineer?

Kumbukumbu zangu hazipo vizuri hivi ni minne au mitano?
Nasikia Aucho kampita hadi Tshabalala na Kapombe umri ila uzuri wana Yanga wote bado wanaridhika na kiwango chake. Huyu Aucho kahusika katika kipigo cha Simba mara tatu mfululizo na yeye ndiye akiongoza kwenye uunganishaji.
 
Hawajapishana sana kama Manula na Matola, maana Manula kamzidi Matola kama miwili hivi au mitatu
Manula ni level ya Mzize

Japo hapo pia nina mashaka napo, hususan pale unapoambiwa kuwa mwaka juzi Mzize alimfanyia mwanae anniversary ya kutimiza miaka 7
 
Kaka umeniwah wanamlipa oesa ndefu chama,auxho, aziz ki, max mzingeli,baleke, dube yanga kila mwez almost wana spendi dollar 150000 kuwalipa hawa watu unafikir watasepa
Wanamlipa vizur anaishi kama Yuko Ulaya sasa aende wapii
 
Manula ni level ya Mzize

Japo hapo pia nina mashaka napo, hususan pale unapoambiwa kuwa mwaka juzi Mzize alimfanyia mwanae anniversary ya kutimiza miaka 7
Sio kweli, Manula na Kapombe wanamzidi miaka au rika moja na Matola.

Japo hapo pia nina mashaka napo, hususan pale unapoambiwa kuwa mwaka juzi Kapombe alimfanyia mwanae sherehe ya kumaliza darasa la 7
 
Back
Top Bottom