Aucho: Nitacheza Yanga SC hadi Rais Hersi atakaposema sipo tena kwenye mpango wa timu

Aucho: Nitacheza Yanga SC hadi Rais Hersi atakaposema sipo tena kwenye mpango wa timu

Ataenda wapi wanakopokea wazee..atabaki hapo hapo makazi ya wazee.
 
Hivi Aucho kamzidi miaka mingapi engineer?

Kumbukumbu zangu hazipo vizuri hivi ni minne au mitano?
Mbona hawatofautiani sana na kapombe ila nasikia zimbwe kawazidi miaka mitatu tu
 
Hivi Aucho kamzidi miaka mingapi engineer?

Kumbukumbu zangu hazipo vizuri hivi ni minne au mitano?
Ata kama akimzidi miaka 10 kazi yake uwanjani iliwafanya mkatandikwa mechi 3 mfululizo na bado ataendelea kuwajibu kwa vitendo na sio miaka, umesajili miaka na bado ukachezea kichapo kingine na refa akawaokoa zingesoma nyingine 4 kudadadeki!
 
Back
Top Bottom