Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Aucho kamzidi hadi shomar kapombeHivi Aucho kamzidi miaka mingapi engineer?
Kumbukumbu zangu hazipo vizuri hivi ni minne au mitano?
Hivi Aucho kamzidi miaka mingapi engineer?
Kumbukumbu zangu hazipo vizuri hivi ni minne au mitano?
Ni kocha anamwambia Eng. Hersi, kisha Eng. Hersi anampa thank you mchezajiAnaeamua awe kwenye mipango ya timu au asiwe kwenye mipango ya timu ni Eng. Hersi au kocha?
Nasikia Aucho kampita hadi Tshabalala na Kapombe umri ila uzuri wana Yanga wote bado wanaridhika na kiwango chake. Huyu Aucho kahusika katika kipigo cha Simba mara tatu mfululizo na yeye ndiye akiongoza kwenye uunganishaji.Hivi Aucho kamzidi miaka mingapi engineer?
Kumbukumbu zangu hazipo vizuri hivi ni minne au mitano?
Fadlu mwenyewe hafiki kwa AuchoAucho kamzidi hadi shomar kapombe
Manula ni level ya MzizeHawajapishana sana kama Manula na Matola, maana Manula kamzidi Matola kama miwili hivi au mitatu
Wanamlipa vizur anaishi kama Yuko Ulaya sasa aende wapii
Na ndio umbwiga wenu ulipo hapoHuyu Aucho kahusika katika kipigo cha Simba mara tatu mfululizo na yeye ndiye akiongoza kwenye uunganishaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu ndiyo mwaka wake wa mwisho, huwezi cheza kwa kiwamgo kikubwa umri ukisogea, Aucho sasa ana 45 +.
Sio kweli, Manula na Kapombe wanamzidi miaka au rika moja na Matola.Manula ni level ya Mzize
Japo hapo pia nina mashaka napo, hususan pale unapoambiwa kuwa mwaka juzi Mzize alimfanyia mwanae anniversary ya kutimiza miaka 7