Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 4,385 Reaction score 6,443 Sep 2, 2024 #21 Scars said: Fadlu mwenyewe hafiki kwa Aucho Click to expand... Uko sahihi kabisa ndio maana sisi simba tulimuacha mzee peter banda tukabaki na kijana Mohamed Hussei,manula na kapombe na dogo mzamiru
Scars said: Fadlu mwenyewe hafiki kwa Aucho Click to expand... Uko sahihi kabisa ndio maana sisi simba tulimuacha mzee peter banda tukabaki na kijana Mohamed Hussei,manula na kapombe na dogo mzamiru
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,188 Reaction score 6,633 Sep 3, 2024 #22 Ataenda wapi wanakopokea wazee..atabaki hapo hapo makazi ya wazee.
N Nyamale Member Joined Jul 21, 2024 Posts 84 Reaction score 314 Sep 3, 2024 #23 Scars said: Hivi Aucho kamzidi miaka mingapi engineer? Kumbukumbu zangu hazipo vizuri hivi ni minne au mitano? Click to expand... Mbona hawatofautiani sana na kapombe ila nasikia zimbwe kawazidi miaka mitatu tu
Scars said: Hivi Aucho kamzidi miaka mingapi engineer? Kumbukumbu zangu hazipo vizuri hivi ni minne au mitano? Click to expand... Mbona hawatofautiani sana na kapombe ila nasikia zimbwe kawazidi miaka mitatu tu
M Makavuli JF-Expert Member Joined Aug 27, 2024 Posts 1,425 Reaction score 1,829 Sep 3, 2024 #24 Scars said: Hivi Aucho kamzidi miaka mingapi engineer? Kumbukumbu zangu hazipo vizuri hivi ni minne au mitano? Click to expand... Ata kama akimzidi miaka 10 kazi yake uwanjani iliwafanya mkatandikwa mechi 3 mfululizo na bado ataendelea kuwajibu kwa vitendo na sio miaka, umesajili miaka na bado ukachezea kichapo kingine na refa akawaokoa zingesoma nyingine 4 kudadadeki!
Scars said: Hivi Aucho kamzidi miaka mingapi engineer? Kumbukumbu zangu hazipo vizuri hivi ni minne au mitano? Click to expand... Ata kama akimzidi miaka 10 kazi yake uwanjani iliwafanya mkatandikwa mechi 3 mfululizo na bado ataendelea kuwajibu kwa vitendo na sio miaka, umesajili miaka na bado ukachezea kichapo kingine na refa akawaokoa zingesoma nyingine 4 kudadadeki!