Hata mimi nakubali ni ngumu ila inawezekana kuwashindanisha, ndio maana kwenye tuzo huwa wanashindanisha watu wa namba tofauti na still mshindi anapatikanaNarudia tena ni ngumu kulinganisha wachezaji wenye majukumu mawili tofauti, sana sana mtaenda kwenye matokeo ya ujumla (mafanikio) lakini hautoweza kuwalinganisha kiufundi mpira hauko hivyo, je unawezaje kumlinganisha Neymar na De Gea? Zaidi tu ya mtaenda kwenye mafanikio ya mmoja mmoja na kushindwa kuwachambua kwa kiufundi
Kwenye tuzo huwa kuna vipengele kama vile kipa bora, mchezaji bora, mfungaji bora. Kama kuhusu mchezaji bora basi wanachukua mchezaji aliyetekeza majukumu yake kwa kiasi kikubwa kuliko wote. Je unalinganisha chama na Aucho katika engo ipi ili kupata aliye bora?Hata mimi nakubali ni ngumu ila inawezekana kuwashindanisha, ndio maana kwenye tuzo huwa wanashindanisha watu wa namba tofauti na still mshindi anapatikana
Kwani mechi dhidi ya Kagera na dhidi ya Kmc ilikuwa sio mikoani?Tumwona Chama akidrible na kukusanya kundi na kulipoteza , lakini Aucho ni mtu wa pasi tu wakati Chama anafanya vyote ,ngoja tusubiri Aucho kwenye viwanja vya mikoani
Aucho hakucheza uko CAFAucho mbele KMC,Kagera na Wengine NBC League yupo Vizuri....! Sasa Rivers na Wengineo huko CAF Tuornarments bado hajatuthibitisha....Hatuwezi Kumringanisha na Mwamba Wa Lusaka.
Endelea kufatilia rede maana mpira umekushinda kuufatilia. Aucho, Djuma shabani, Mayele na Aucho hawakucheza michuano ya CAF dhidi ya Rivers UnitedCaf kashindwa kuivusha timu hata shirikisho wa nini huyo si takataka tu .
Umesema tuzo siyo kiuchezajiHata mimi nakubali ni ngumu ila inawezekana kuwashindanisha, ndio maana kwenye tuzo huwa wanashindanisha watu wa namba tofauti na still mshindi anapatikana
Ni ngumu kuwalinganisha wachezaji wanaocheza nafasi mbili tofauti. Majukumu ya chama Aucho hayawezi kuyafanya. Na pia majukumu ya Aucho, chama hayawezi kuyafanya.
We Bata Aucho hakucheza hukoCaf kashindwa kuivusha timu hata shirikisho wa nini huyo si takataka tu .
Endelea kufatilia rede maana mpira umekushinda kuufatilia. Aucho, Djuma shabani, Mayele na Aucho hawakucheza michuano ya CAF dhidi ya Rivers United