Hata mimi nakubali ni ngumu ila inawezekana kuwashindanisha, ndio maana kwenye tuzo huwa wanashindanisha watu wa namba tofauti na still mshindi anapatikanaNarudia tena ni ngumu kulinganisha wachezaji wenye majukumu mawili tofauti, sana sana mtaenda kwenye matokeo ya ujumla (mafanikio) lakini hautoweza kuwalinganisha kiufundi mpira hauko hivyo, je unawezaje kumlinganisha Neymar na De Gea? Zaidi tu ya mtaenda kwenye mafanikio ya mmoja mmoja na kushindwa kuwachambua kwa kiufundi