Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mwache afunge nalo ndoa. Na hizi njia zetu za madimbwi sensor zitamfundisha akili tu 🤣🤣🤣 mie wa Crown ntaenda kunyofoa kwenye gari zilizokatwa pale Tandale.Audi A4, spear zake ikimbie Kama ukoma. Ukiinunua ni lako haliuziki tena ni mali yako. Spear zake hazipatikani, mafundi wake hawampo. Kama wapo hawajui Cha kufanya kuhusu ilo gari. Hata disc zake kupata ni shidaaaaa