Audi A4 vs Toyota Crown nipe maoni yako

Audi A4 vs Toyota Crown nipe maoni yako

Sijawahi pata lift ya Audi zaidi ya kuziona tu kwa road. Crown tamu bana

Ila mtoa mada alete mrejesho maana Uzi ni wa August huu na sahii tunaimaliza December.
Mi kiukweli nilikua naziona garage kwetu tu zikija kutengenezwa na kupanda ni hadi tukienda road test baada ya kuitengeneza hivi hivi sijawahi panda😀 ni chache mitaani
 
Manake kipato kidogo cha wateja.

Sio kukubalika.

Kwanini hizo Tecno hazikubaliki EU na USA?

Ila ndo bidhaa pendwa ya poor countries.

Sawa na Yutong, Faw au Howo.
Utakuwa hujajua vizuri concepts za biashara mkuu. Kila kampuni ina mbinu zake sokoni strategically.

Kuna target market kwa kila bidhaa. Toyota hao hao wanatengeneza bidhaa kama Lexus ambazo target yake ni soko la ulaya ndio maana bongo sio nyingi ila haimaanishi ni product mbaya kwa sababu wengi hawazinunui.

Kinachofanya wingi wa bidhaa sokoni ni distribution yake na bei kuwa rafiki. Ila kwa Complex product kama gari watu huzingatia pia value for money. Wingi wa Toyota bongo maana imeprove kuwa na value for money kwa wateja kuliko brand zingine na sio kuwa ni inferior product.

Tecno ni kampuni ilio based in Africa. Target ilikuwa kuuza simu humu humu ndio maana hata gharama zake ziko chini pia distribution yake imekuwa rahisi zaidi humu.
 
Nimeangalia hata bei za Audi A4 na Toyota Crown bado AUDI A4 ni cheap kuliko TOYOTA Crown, swali Je ni kwa nini bado watu wanakimbilia TOYOTA Crown badala ya AUDI A4?
 
Nimeangalia hata bei za Audi A4 na Toyota Crown bado AUDI A4 ni cheap kuliko TOYOTA Crown, swali Je ni kwa nini bado watu wanakimbilia TOYOTA Crown badala ya AUDI A4?
Ndio maana nikasema tu kitaalamu unapouza bidhaa unauza convenience! Hio convenience ndio Utility au satisfaction.

Kwenye bidhaa complex kama gari watu wananunua value for money. Ulimwenguni kote Re-sale value ya gari za mjapani hasa Toyota na Honda huwa ziko juu sababu zina prove kuwa na value for money zaidi ya gari za marekani na ulaya.

Kimsingi ni well built cars with hustle free maintanance. Na ni gari vumilivu sana hata ukizi abuse. Pia jamaa kama Toyota wana magari mengi ya kutosha kila target market. Yapo for Fancy, yapo Economical, yapo ya Perfomance, yapo ya Sub-Urban vehicle ambayo ndio ma 4*4, yapo Kei cars for town Cruising. 80% percent ni reliable cars!
 
Eeh jamaa hawaelewi, hizo Audi kama nzuri mbona zinauzwa bei chee huko japan japo zimetoka ulaya. Yani ukiangalia Lexus inayotoka USA ni ghali kuliko Audi inayotoka ujerumani😂😂😂
Watu kwakisikia machine ya Mjerumani wanapagawa kweli. Hizo Bmw 3 series na huyo Audi A4 kwenye soko la used cars wanabei za kawaida sana kuliko hata gari za TOYOTA .
 
Watu kwakisikia machine ya Mjerumani wanapagawa kweli. Hizo Bmw 3 series na huyo Audi A4 kwenye soko la used cars wanabei za kawaida sana kuliko hata gari za TOYOTA .
Hizo gari wazungu wenyewe hutumia zikiwa kwenye ule muda wa warranty! Ina maana ananunua anatumia ndani ya miaka miwili sijui au mitatu ya warranty ambapo Audi au BMW mwenyewe anakufanyia service likikorofisha warranty ikiisha tu hilo zigo la gharama wanajivuaga mapema wanazitupa kwenye soko la used cars maana zinafilisigi.

Na ndio maana unaziona bei chee sana. Ni ushamba wetu tu ila kimsingi Crown inatakiwa iwe ghali kuliko hizo takataka za mjerumani hata kwenye kuuziana kibongo bongo. Ila ushamba unaponza wengi mno.
 
We jichanganye ndo utajua hujui gari ni spear we uue sample yeyote ukae usubili mwezi gari imepaki

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijasema AUDI ni gari nzuri kwa mazingira yetu, namaanisha pamoja na kuwa AUDI ni Cheap kuliko CROWN bado watu wananunua zaidi CROWN kuliko AUDI na sababu kubwa ni uwezo wa kumudu matengenezo na gari kuvumilia mazingira yetu..
 
Ah ah
Acha dharau wewe..Crown unafananisha na kigari cha mpito hio verossa! Crown ni executive Sedan. Japan ndio wanatumia mawaziri hizo.Ni gari iliotengenezwa kwa umakini wa hali ya juu.
Chako kipendacho roho kaka sio cha mwenzio
 
Audi au BMW nI gari za kitajiri. Hata huko mbele waoendesha hizi gari ni watu wanaojielewa. Zikiwa nzima raha sana, I'll ikiharibika sasa, kila kitu chake ni mara mbili au tatu zaidi ya hizi gari zetu za kimasikini, Hata kupiga rangi. Mimi nishawahi kuchuna bumper la AUDI A4 ya mtu wakati niko lena gari manual, bei yake kulipa nilikoma. Na Hata huko mbele hizi gari haziendi gereji yoyote, zinaenda kwa mafundi wake special. Najua watu kibao wameshindwa kutengeneza ma AUDI yao. Spare ghali sana.
Kama uko vizuri, chukua A4 it's a status symbol. Kokote duniani mtu anaendesha AUDI sio mwenzio.
Kama ni mwenzangu Na Mimi we nunua to crown. Unaeza Hata enda pale Tandale ukapata spare.

Ni ushauri wangu tu.
Nitabanana na Nissan yangu...nikichepuka nitachepukia Toyota...
 
Audi, BMW ,vw , nissan, RVR, pajero, ukiinunua umeoa mke wa tisa au umeolewa mke wa tisa. Hayo magari epukaneni nayo .
Mkuu kuhusu kuuzika na upatikanaji wa vipuri, Nissan usiilinganishe na hizo gari ulizotaja hapo juu...
Nissan linauzika japo slow slow na spea zipo kibao...

Na Tz hii ukiacha Toyota, nadhani Nissan ndiyo zinafuatia kwa wingi na upatikanaji wa spea pia
 
Back
Top Bottom