wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Ungechukua hio Audi A4 ikatokea umeenda nayo huko Kigoma ikapata changamoto ungeibeba kichwani kurudi nayo dar mzee.Let me admit this mkuu..Michango yako mingi niliyokuwa naiona hapa Jf ktk jukwaa hili ukiisifia Crown plus mafundi wangu waaminifu ambao walikuwa wanaisifia Crown in different angles ndio mmenifanya ninunue hii gari kwa haraka sana..na kwa kweli Crown haijawai kuniangusha narudia tena Crown haijawai kuniangusha Dar-Mwanza, Tunduma-Mwanza, Mwanza-Arusha, Dar-Kigoma ni mwaka na miezi 7 sasa Gharama kubwa niliyoingia ni kubadili Tairi tu zile ambazo imetoka nazo Japan. Crown πππ
Mkuu cha muhimu ni kuambiana ukweli tu daima! Crown ni gari na nusu yani its highly comfortable na rafiki kwa maisha yetu kibongo bongo! Kwenye safari ndio hasa unakula nchi maana ni ndege ya chini ile inatembea na balance ya kutosha! Barabarani huwi kinyonge hata kidogo.Let me admit this mkuu..Michango yako mingi niliyokuwa naiona hapa Jf ktk jukwaa hili ukiisifia Crown plus mafundi wangu waaminifu ambao walikuwa wanaisifia Crown in different angles ndio mmenifanya ninunue hii gari kwa haraka sana..na kwa kweli Crown haijawai kuniangusha narudia tena Crown haijawai kuniangusha Dar-Mwanza, Tunduma-Mwanza, Mwanza-Arusha, Dar-Kigoma ni mwaka na miezi 7 sasa Gharama kubwa niliyoingia ni kubadili Tairi tu zile ambazo imetoka nazo Japan. Crown πππ
Mkuu sipo Negative ila ukweli ni kuwa naangalia uchumi wetu ulivyo! Dunia ya kwanza huko kuletewa bill ya $5000 kwa mwaka on repairs za gari ni swala la kawaida kwa mwananchi wa kawaida. Same na mkazi wa Masaki na Obey! They can pay that on routine Maintanance tu ya gari zao za 250M- 400M!man always uko negative na magari nje ya toyota. kila gari lina shida yake.. tofauti ni uwezo wa mtu ku solve hayo matatizo.
kama ww unaona ghali. wapo wanaoona hizo gari ni rahis.
Nje ya mji haifaiHii ndinga inahamasisha sana,nimefanya utafiti kwa wadau wengi hamna alieiponda π,shida inakuja kwa kina sie tunaokaa nje ya mji
Huko ni majanga matupuNje ya mji haifai
BMW 3 SERIES vs AUDI A4 vs TOYOTA CROWN
Naomba wajuzi wa mambo wanisaidie uchanganuzi wa hizi gari mbili.
Ahsanteni
Lazima mashetani yakupande kwanzaπ€£π€£π€£Ungechukua hio Audi A4 ikatokea umeenda nayo huko Kigoma ikapata changamoto ungeibeba kichwani kurudi nayo dar mzee.
Utakuta mtu anasema ni bora crown kuliko audi bila kupiga hesabu ya mafuta anayotumia ndani ya mwezi mzima..audi inanusa mafuta spare ni ghari lakini zinadumuUnafuu wa crown upo eneo gani na ughali wa Audi upo eneo gani?
Hiyo itakua na leakage chiefShida ya AUDI hasa hizo A4 ni oil, inakula oil sana, tena ukibugi kila baada ya kutembea km 900 unaongeza lita ya oil, hasa zikishaenda km zaidi ya elfu 80 oil ni janga kubwa
I reserve this comment for future referenceSijawahi pata lift ya Audi zaidi ya kuziona tu kwa road. Crown tamu bana
Ila mtoa mada alete mrejesho maana Uzi ni wa August huu na sahii tunaimaliza December.
ππ which future mkuu? Hahaaaa ngoja nitafute hela za audi mie πI reserve this comment for future reference
Najitolea kukukopeshaππ which future mkuu? Hahaaaa ngoja nitafute hela za audi mie π
Haya tusogee MJ motors basi π©πNajitolea kukukopesha
Janinternational watafaa zaidiHaya tusogee MJ motors basi π©π