wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Ungechukua hio Audi A4 ikatokea umeenda nayo huko Kigoma ikapata changamoto ungeibeba kichwani kurudi nayo dar mzee.Let me admit this mkuu..Michango yako mingi niliyokuwa naiona hapa Jf ktk jukwaa hili ukiisifia Crown plus mafundi wangu waaminifu ambao walikuwa wanaisifia Crown in different angles ndio mmenifanya ninunue hii gari kwa haraka sana..na kwa kweli Crown haijawai kuniangusha narudia tena Crown haijawai kuniangusha Dar-Mwanza, Tunduma-Mwanza, Mwanza-Arusha, Dar-Kigoma ni mwaka na miezi 7 sasa Gharama kubwa niliyoingia ni kubadili Tairi tu zile ambazo imetoka nazo Japan. Crown 🙌🙌🙌