Audi A4 vs Toyota Crown nipe maoni yako

Audi A4 vs Toyota Crown nipe maoni yako

Let me admit this mkuu..Michango yako mingi niliyokuwa naiona hapa Jf ktk jukwaa hili ukiisifia Crown plus mafundi wangu waaminifu ambao walikuwa wanaisifia Crown in different angles ndio mmenifanya ninunue hii gari kwa haraka sana..na kwa kweli Crown haijawai kuniangusha narudia tena Crown haijawai kuniangusha Dar-Mwanza, Tunduma-Mwanza, Mwanza-Arusha, Dar-Kigoma ni mwaka na miezi 7 sasa Gharama kubwa niliyoingia ni kubadili Tairi tu zile ambazo imetoka nazo Japan. Crown 🙌🙌🙌
Ungechukua hio Audi A4 ikatokea umeenda nayo huko Kigoma ikapata changamoto ungeibeba kichwani kurudi nayo dar mzee.
 
Let me admit this mkuu..Michango yako mingi niliyokuwa naiona hapa Jf ktk jukwaa hili ukiisifia Crown plus mafundi wangu waaminifu ambao walikuwa wanaisifia Crown in different angles ndio mmenifanya ninunue hii gari kwa haraka sana..na kwa kweli Crown haijawai kuniangusha narudia tena Crown haijawai kuniangusha Dar-Mwanza, Tunduma-Mwanza, Mwanza-Arusha, Dar-Kigoma ni mwaka na miezi 7 sasa Gharama kubwa niliyoingia ni kubadili Tairi tu zile ambazo imetoka nazo Japan. Crown 🙌🙌🙌
Mkuu cha muhimu ni kuambiana ukweli tu daima! Crown ni gari na nusu yani its highly comfortable na rafiki kwa maisha yetu kibongo bongo! Kwenye safari ndio hasa unakula nchi maana ni ndege ya chini ile inatembea na balance ya kutosha! Barabarani huwi kinyonge hata kidogo.

Jaribu Audi kisha upasue sample tu uone balaa lake yani! Bulb tu ya taa ikiungua kuipata ni shughuli 😅 usiombe zile gari zinataka watu wenye pesa tu kwa kweli! Pesa isiyo ya mawazo mkuu ila sie wa kuunga unga na hela limited tuishi Toyopet tu!
 
man always uko negative na magari nje ya toyota. kila gari lina shida yake.. tofauti ni uwezo wa mtu ku solve hayo matatizo.

kama ww unaona ghali. wapo wanaoona hizo gari ni rahis.
Mkuu sipo Negative ila ukweli ni kuwa naangalia uchumi wetu ulivyo! Dunia ya kwanza huko kuletewa bill ya $5000 kwa mwaka on repairs za gari ni swala la kawaida kwa mwananchi wa kawaida. Same na mkazi wa Masaki na Obey! They can pay that on routine Maintanance tu ya gari zao za 250M- 400M!

Sasa mtu ambaye tu Vits akitembelea analalamika mafuta anashusha kioo hawashi AC! Utegemee akijitwisha Audi ikaua fuel pump tu hataipaki! Mara imeunguza gasket unajua bei ya top cover gasket ya Audi wewe?

Essence nikuwa naongelea sauti ya wengi ambao hali zetu kiuchumi ni unga unga mwana! Population ya wanaokaa Mbezi Beach,Obey,Masaki na ushuani kwa asilimia ni wadogo kuliko wanaoishi Ilala na Temeke huko na ambao wanamiliki ndinga!

Ukiangalia population ya German cars na Japanese barabarani utapata jibu la haraka!
 
Toyota vs European brands (posted from UK)
 
Shida ya AUDI hasa hizo A4 ni oil, inakula oil sana, tena ukibugi kila baada ya kutembea km 900 unaongeza lita ya oil, hasa zikishaenda km zaidi ya elfu 80 oil ni janga kubwa
Hiyo itakua na leakage chief
 
Back
Top Bottom