Audi A4 vs Toyota Crown nipe maoni yako

Audi A4 vs Toyota Crown nipe maoni yako

Sijawahi pata lift ya Audi zaidi ya kuziona tu kwa road. Crown tamu bana

Ila mtoa mada alete mrejesho maana Uzi ni wa August huu na sahii tunaimaliza December.
Kinara wa lift!🚶🚶🚶
 
Mkuu wangu mara nyingi unakuta tatizo hata siyo gari bali ni mkono wa mtu, kuna watu wanaendesha magari rough sana. European cars especially hz sedan siyo rafiki sana wa rough driving kwenye barabara zetu. Kama Audi ukiiendesha barabara za kimara zilivyo mbovu unaweza pata pressure.
Duh Kimara! Nilienda kwenye msiba na kigari changu kinachotembelea tumbo. Yaani muda wote msibani nawaza safari ya kutoka hapo hadi Morogoro road itakuwaje! Nilifika salama,ilikuwa mwanzo na mwisho.
 
Duh Kimara! Nilienda kwenye msiba na kigari changu kinachotembelea tumbo. Yaani muda wote msibani nawaza safari ya kutoka hapo hadi Morogoro road itakuwaje! Nilifika salama,ilikuwa mwanzo na mwisho.
🤣 🤣 🤣
 
Ndio nilijua kwanini Wachaga(wengi wanaishi huko) wanapenda zile Rav4 na Prado zinazoitwa za kichagga!
Nilishagonga jiwe huko kimara nikajikuta jasho jembamba linatoka na AC inawaka-yale maumivu nilihisi moyo ndo umegongwa na jiwe 🙂 🙂na imeniathiri kimawazo mpaka leo,niki approach tu zile barabara kujiamin kunapotea kabisa.Kugonga jiwe zaid ya moja wakati umetumia akili na umakin wa hali ya juu ina frustrate sana-Gari inaumia mpaka wapita njia unawaona wanasikitika.
 
Duh Kimara! Nilienda kwenye msiba na kigari changu kinachotembelea tumbo. Yaani muda wote msibani nawaza safari ya kutoka hapo hadi Morogoro road itakuwaje! Nilifika salama,ilikuwa mwanzo na mwisho.
Eti kigari kinachotembelea tumbo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Gari ya ukweli sio mie tu nayeikubali! Kama uko barabarani sahizi geuza shingo kushoto au kulia katika hio foleni kama hujaona moja niambie ili niskip chai leo!
Hii ndinga inahamasisha sana,nimefanya utafiti kwa wadau wengi hamna alieiponda 😀,shida inakuja kwa kina sie tunaokaa nje ya mji
 
Gari ya ukweli sio mie tu nayeikubali! Kama uko barabarani sahizi geuza shingo kushoto au kulia katika hio foleni kama hujaona moja niambie ili niskip chai leo!
Toyota wameamua kuleta Toyota Crown SUV kabisaView attachment 1795840
images%20(8).jpg
 
Basi sawa mkuu[emoji16],,,uandae hela ya kuzima warning lights kwenye dashboard na kwa haraka haraka vi million 2-3 visikupige chenga kila mwezi.
man always uko negative na magari nje ya toyota. kila gari lina shida yake.. tofauti ni uwezo wa mtu ku solve hayo matatizo.

kama ww unaona ghali. wapo wanaoona hizo gari ni rahis.
 
Gari ya ukweli sio mie tu nayeikubali! Kama uko barabarani sahizi geuza shingo kushoto au kulia katika hio foleni kama hujaona moja niambie ili niskip chai leo!
Let me admit this mkuu..Michango yako mingi niliyokuwa naiona hapa Jf ktk jukwaa hili ukiisifia Crown plus mafundi wangu waaminifu ambao walikuwa wanaisifia Crown in different angles ndio mmenifanya ninunue hii gari kwa haraka sana..na kwa kweli Crown haijawai kuniangusha narudia tena Crown haijawai kuniangusha Dar-Mwanza, Tunduma-Mwanza, Mwanza-Arusha, Dar-Kigoma ni mwaka na miezi 7 sasa Gharama kubwa niliyoingia ni kubadili Tairi tu zile ambazo imetoka nazo Japan. Crown 🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom