Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kinara wa lift!🚶🚶🚶Sijawahi pata lift ya Audi zaidi ya kuziona tu kwa road. Crown tamu bana
Ila mtoa mada alete mrejesho maana Uzi ni wa August huu na sahii tunaimaliza December.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinara wa lift!🚶🚶🚶Sijawahi pata lift ya Audi zaidi ya kuziona tu kwa road. Crown tamu bana
Ila mtoa mada alete mrejesho maana Uzi ni wa August huu na sahii tunaimaliza December.
Duh Kimara! Nilienda kwenye msiba na kigari changu kinachotembelea tumbo. Yaani muda wote msibani nawaza safari ya kutoka hapo hadi Morogoro road itakuwaje! Nilifika salama,ilikuwa mwanzo na mwisho.Mkuu wangu mara nyingi unakuta tatizo hata siyo gari bali ni mkono wa mtu, kuna watu wanaendesha magari rough sana. European cars especially hz sedan siyo rafiki sana wa rough driving kwenye barabara zetu. Kama Audi ukiiendesha barabara za kimara zilivyo mbovu unaweza pata pressure.
🤣 🤣 🤣Duh Kimara! Nilienda kwenye msiba na kigari changu kinachotembelea tumbo. Yaani muda wote msibani nawaza safari ya kutoka hapo hadi Morogoro road itakuwaje! Nilifika salama,ilikuwa mwanzo na mwisho.
Ndio nilijua kwanini Wachaga(wengi wanaishi huko) wanapenda zile Rav4 na Prado zinazoitwa za kichagga!🤣 🤣 🤣
Nilishagonga jiwe huko kimara nikajikuta jasho jembamba linatoka na AC inawaka-yale maumivu nilihisi moyo ndo umegongwa na jiwe 🙂 🙂na imeniathiri kimawazo mpaka leo,niki approach tu zile barabara kujiamin kunapotea kabisa.Kugonga jiwe zaid ya moja wakati umetumia akili na umakin wa hali ya juu ina frustrate sana-Gari inaumia mpaka wapita njia unawaona wanasikitika.Ndio nilijua kwanini Wachaga(wengi wanaishi huko) wanapenda zile Rav4 na Prado zinazoitwa za kichagga!
🤣🤣🤣Gari inayokula oil kila baada ya km 900 ni mbovu...
Eti kigari kinachotembelea tumbo🤣🤣🤣🤣🤣🤣Duh Kimara! Nilienda kwenye msiba na kigari changu kinachotembelea tumbo. Yaani muda wote msibani nawaza safari ya kutoka hapo hadi Morogoro road itakuwaje! Nilifika salama,ilikuwa mwanzo na mwisho.
Diesel kww gari ndogo za saloon sioAudi A4, nguvu nyingi mafuta kiduchu! Chukua ya dizeli kama utapata afu ya miaka ya mbele usichukuw za zamaaani yani 2005 huko jitahidi ya 2010 kwenda juu
Sio kivipi?Diesel kww gari ndogo za saloon sio
Mkuu hii gari unaikubali sana 😀Acha dharau wewe..Crown unafananisha na kigari cha mpito hio verossa! Crown ni executive Sedan. Japan ndio wanatumia mawaziri hizo.Ni gari iliotengenezwa kwa umakini wa hali ya juu.
Gari ya ukweli sio mie tu nayeikubali! Kama uko barabarani sahizi geuza shingo kushoto au kulia katika hio foleni kama hujaona moja niambie ili niskip chai leo!Mkuu hii gari unaikubali sana 😀
Linahamasisha aisee
Hii ndinga inahamasisha sana,nimefanya utafiti kwa wadau wengi hamna alieiponda 😀,shida inakuja kwa kina sie tunaokaa nje ya mjiGari ya ukweli sio mie tu nayeikubali! Kama uko barabarani sahizi geuza shingo kushoto au kulia katika hio foleni kama hujaona moja niambie ili niskip chai leo!
Toyota wameamua kuleta Toyota Crown SUV kabisaView attachment 1795840Gari ya ukweli sio mie tu nayeikubali! Kama uko barabarani sahizi geuza shingo kushoto au kulia katika hio foleni kama hujaona moja niambie ili niskip chai leo!
man always uko negative na magari nje ya toyota. kila gari lina shida yake.. tofauti ni uwezo wa mtu ku solve hayo matatizo.Basi sawa mkuu[emoji16],,,uandae hela ya kuzima warning lights kwenye dashboard na kwa haraka haraka vi million 2-3 visikupige chenga kila mwezi.
Pita Google, fanya analysis yakoman always uko negative na magari nje ya toyota. kila gari lina shida yake.. tofauti ni uwezo wa mtu ku solve hayo matatizo.
kama ww unaona ghali. wapo wanaoona hizo gari ni rahis.
Maelezo mazuri zaidiMimi sijasema AUDI ni gari nzuri kwa mazingira yetu, namaanisha pamoja na kuwa AUDI ni Cheap kuliko CROWN bado watu wananunua zaidi CROWN kuliko AUDI na sababu kubwa ni uwezo wa kumudu matengenezo na gari kuvumilia mazingira yetu..
Let me admit this mkuu..Michango yako mingi niliyokuwa naiona hapa Jf ktk jukwaa hili ukiisifia Crown plus mafundi wangu waaminifu ambao walikuwa wanaisifia Crown in different angles ndio mmenifanya ninunue hii gari kwa haraka sana..na kwa kweli Crown haijawai kuniangusha narudia tena Crown haijawai kuniangusha Dar-Mwanza, Tunduma-Mwanza, Mwanza-Arusha, Dar-Kigoma ni mwaka na miezi 7 sasa Gharama kubwa niliyoingia ni kubadili Tairi tu zile ambazo imetoka nazo Japan. Crown 🙌🙌🙌Gari ya ukweli sio mie tu nayeikubali! Kama uko barabarani sahizi geuza shingo kushoto au kulia katika hio foleni kama hujaona moja niambie ili niskip chai leo!