Yaani imegeuka sana, mwenyewe sikutegemea aisee. Nilijua Tesla atakua dominantWazungu walifikiri wanakuja kuwakomoa mataifa mengine Kwa kuingia kwenye ulimwengu wa EV lkn sasa tunaona jinsi wanavyopata shida kwenye ubunifu na utengenezaji wa magari ya UMEME
naona imekaa kama maybach. ila kwa tz tutaishia kuziona kwenye picha. ukiachana na ughali,hakuna mafundi hapa.weng wamezoea kwa mazoeaAudi ipo china kwa miaka 30 sasa
Trump anaposema ataongeza kodi kubwa sana kwa bidhaa za mchina basi anawalenga hawa wanaopeleka makampuni yao huko na mchina pia
MAGA ndio moto yake na anamaanisha haswa
Anataka awe juu sana 🇺🇸
Ila Audi ya umeme imetulia ndani daa
Nia siyo kukomoa bali ni kupunguza uchafuzi wa mazingira.Wazungu walifikiri wanakuja kuwakomoa mataifa mengine Kwa kuingia kwenye ulimwengu wa EV lkn sasa tunaona jinsi wanavyopata shida kwenye ubunifu na utengenezaji wa magari ya UMEME
Zitakuja lakini ni baada ya muda. Ulimwengu wote unahamia kwenye magari ya umeme hivyo baada ya miaka kadhaa kutakuwa hakuna tena magari haya ya mafuta. Na mafundi nao itabidi wabadilike.naona imekaa kama maybach. ila kwa tz tutaishia kuziona kwenye picha. ukiachana na ughali,hakuna mafundi hapa.weng wamezoea kwa mazoea
Kwa ukaribu wa trump na musk naona basi Tesla atakimbiza tu marekani in the long run, trump anakuambia ukitaka akushushie Kodi Jenga kiwanda marekani hapo hapo, wazungu wanaendelea kwasababu ni wabinafsi, sisi mpaka ndala tunaagiza china, Hawa ilitakiwa tuwabane walete viwanda huku in the long run na sisi tujitegemeeYaani imegeuka sana, mwenyewe sikutegemea aisee. Nilijua Tesla atakua dominant
mchina anapowaumiza kichwa wamagharibi ni kwenye gharama za uzalishaji wa bidhaa,,hapo ndo pagumu........atatoza kodi kubwa viwanda vya china ila ndo vinavyoleta bidhaa nyingi nchini mwao na kwa gharama nafuu,,,hapo jamaa anataka kuwatoa raia wake kwenye msoto, uongeze mishahara/kipato cha mwananchi halafu hapohapo bei ya bidhaa nchini kwako inaongezeka unakua bado hujasolve kitu,,,,,,,,mshahara anaolipwa mfanyakazi anaekua nchi za magharibi ni tofauti kabisa na mishahara inayolipwa china na bado gharama nyingine za uzalishaji.....,ndo maana makampuni mengi yalikimbilia chinaKwa ukaribu wa trump na musk naona basi Tesla atakimbiza tu marekani in the long run, trump anakuambia ukitaka akushushie Kodi Jenga kiwanda marekani hapo hapo, wazungu wanaendelea kwasababu ni wabinafsi, sisi mpaka ndala tunaagiza china, Hawa ilitakiwa tuwabane walete viwanda huku in the long run na sisi tujitegemee
Kusema la haki sisi bongo tuko nyuma kwa kila kitu zaidi ya ujuaji na utapelinaona imekaa kama maybach. ila kwa tz tutaishia kuziona kwenye picha. ukiachana na ughali,hakuna mafundi hapa.weng wamezoea kwa mazoea
Wangepunguza viwandaNia siyo kukomoa bali ni kupunguza uchafuzi wa mazingira.