Audio: Americans Describes Kikwete As A Tyrant, 93.1 WIBC USA interview with Dr. Slaa

Audio: Americans Describes Kikwete As A Tyrant, 93.1 WIBC USA interview with Dr. Slaa

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
480
Reaction score
644
Mahojiano kati ya Dr. Wibraod Peter Slaa na 93.1, one of the largest talk show in Mid-Western USA
Bonyeza link hapa chini kusikiliza
CHADEMA DIASPORA : Americans Describes Kikwete As A Tyrant

NOTE:
Greg Garrison is one of the most conservative talk show hosts in the United States. He does not condone same sex marriage and respective the Institution of Marriage.


Gary respects God's creation, and doesn't in any way support Same SEX Marriage. This radio station is not affiliated with any religious institution as some may want to say. It is a secular, independent and privately owned


Thanks
Ron Tackket
 
Mngejua hiyo ni Radio ya aina gani, labda mngebadilisha mawazo yenu kidogo.
 
MaCCM yanapigwa kila kona ya nchi na dunia mpaka kuzimu kuna tetesi kuwa mapepo yameikataa CCM.
 
Hiyo ni radio ya kanisa na inayotetea masuala ya Ushoga nchini Marekani.
 
Tyrant is a cruel and oppressive ruler.
sidhani kama Jakaya angekua na sifa za tafsiri hiyo bado wengi wangekuwepo kubaki kulialia kwa uongo wa kiwango hicho. Hiyo ni tafsiri sahihi kwa kiongozi wao aliyepita Bw. bush, huyo anafit kabisa kwenye hiyo title.
 
WanaJF,

Pamoja na tofauti zangu za kisiasa na mambo mengine ya aina hiyo kwa CHADEMA, lakini linapokuja suala la kitaifa tunapaswa kusimama pamoja na kukemea maovu yanayoweza kuharibu sifa na heshima ya nchi yetu.

Dr Slaa akiwa katika ziara yake nchini Marekani, amealikwa katika kituo cha radio chenye frequency 93.1 WIBC, Indiana, Marekani. Kituo hichi ni moja ya vituo maarufu nchini Marekani kwa kutetea haki za mashoga na ndoa za jinsia moja.

Kwa sasa Dr Slaa anaendelea kufanya mahojiano na kituo hicho na kwa kuanzia mahojiano yao wameanza kumkashfu rais wetu kuwa aheshimu haki za binadamu, kuwa ni katili, kisa tu amekataa kutambua ndoa za jinsia moja.

Je, Dr Slaa kushirikiana na watu wa aina hiyo, watetezi wa ndoa za jinsia moja, huo ndio utaifa?
 
Acha porojo zako hata CNN wanatetea hivyo hivyo........hicho ni kituo kikubwa cha redio na maarufu sana huko Indiana.

Potosha wasioelewa mambo hayo.....
 
Ungesubiri mahojiano yaishe ndio utuletee yayiyojiri.Kwani hadi sasa ameshaweka wazi msimamo wake ni upi? Anaunga mkono au lah?
 
Ungesubiri mahojiano yaishe ndio utuletee yayiyojiri.Kwani hadi sasa ameshaweka wazi msimamo wake ni upi? Anaunga mkono au lah?

Sio suala la kuunga mkono au lah. Kwanini akubali kufanya mahojiano nao in the first place?
 
Ameenda kuliwa tigo hiyo kama kawaida yao!. Nasikia eti Mbatia NAE ana....wa tigo!
 
Hivi tyrant ndo nini? Niko mbali na dictionary.
 
Back
Top Bottom