Audio: Americans Describes Kikwete As A Tyrant, 93.1 WIBC USA interview with Dr. Slaa

Chadema Diaspora

You are going too far. President Kikwete has never and will never be a tyrant. May if you are trying to show us what you will be in case you step into Ikulu. Keep quit and think of the way you are going to lose unceremoniously during the forthcoming general elections. Bravo JK for your good leadership.
 
Last edited by a moderator:
Chadema Diaspora

Slaa naona unatema cheche. Vipi ukipewa nchi utafanya lolote jipya kama sio kugombania hizo raslimali ulizozisema na kuzitaja. Kama mlivyo wachache kwenye cdm mnapigana vikumbo nani atwae madaraka sasa mkipewa nchi si ndo mtataka kula hadi kuvimbiwa zaidi ya ccm mnaowasema.

Unapokuwa unatazama mpira unaona makosa mengi ya wacheza pia ya refa ingia sasa uwanjani kama hutaishia kuua bacteria kwa kupiga hewa na kuacha mpira. Upinzani mnajitahidi mnasema sana lakini ndo mnaoongoza kwa uroho wa madaraka na na udikteta.

Kama ni kweli wanademokrasia na si wanadomokrasia mbona Wenyeviti wenu wengi ndo wagombea urais kila muhula. Je wengine hawapo wazuri kwenye vyama vyenu.

Acha hizo walafi ninyi.:welcome:
 
Last edited by a moderator:
Kapwela

Slaa naona unatema cheche. Vipi ukipewa nchi utafanya lolote jipya kama sio kugombania hizo raslimali ulizozisema na kuzitaja. Kama mlivyo wachache kwenye cdm mnapigana vikumbo nani atwae madaraka sasa mkipewa nchi si ndo mtataka kula hadi kuvimbiwa zaidi ya ccm mnaowasema.

Unapokuwa unatazama mpira unaona makosa mengi ya wacheza pia ya refa ingia sasa uwanjani kama hutaishia kuua bacteria kwa kupiga hewa na kuacha mpira.

Upinzani mnajitahidi mnasema sana lakini ndo mnaoongoza kwa uroho wa madaraka na na udikteta. Kama ni kweli wanademokrasia na si wanadomokrasia mbona Wenyeviti wenu wengi ndo wagombea urais kila muhula. Je wengine hawapo wazuri kwenye vyama vyenu. Acha hizo walafi ninyi.:welcome:

UKAWA NI SHIDA ndugu yangu nami nimekuunga mkono kwa kukuongezea haya:
 
Last edited by a moderator:
Chadema Diaspora

Slaa naona unatema cheche. Vipi ukipewa nchi utafanya lolote jipya kama sio kugombania hizo raslimali ulizozisema na kuzitaja. Kama mlivyo wachache kwenye cdm mnapigana vikumbo nani atwae madaraka sasa mkipewa nchi si ndo mtataka kula hadi kuvimbiwa zaidi ya ccm mnaowasema.

Unapokuwa unatazama mpira unaona makosa mengi ya wacheza pia ya refa ingia sasa uwanjani kama hutaishia kuua bacteria kwa kupiga hewa na kuacha mpira. Upinzani mnajitahidi mnasema sana lakini ndo mnaoongoza kwa uroho wa madaraka na na udikteta.

Kama ni kweli wanademokrasia na si wanadomokrasia mbona Wenyeviti wenu wengi ndo wagombea urais kila muhula. Je wengine hawapo wazuri kwenye vyama vyenu.

Acha hizo walafi ninyi.:welcome:[

Kwa hiyo unazani utatuzi utakuwa ni upi kupata viongozi bora nchi hii?
 
Last edited by a moderator:
In that sense tukatae misaada ya marekani si wanasapoti same sex marriage

Wamarekani pekee ndio wanaisaidia serikali hii kuenddesha mradi wa Tohara kwa wanaume. Serikali kwa kupitia wizara ya afya imeshindwa kutoa hufuma hiyo bure.

Basi tukatae kwasababu labda wamarekani wanataka wanaume watairiwe ili wawe mashoga....kwasababu hela ni yao.
 
Back
Top Bottom