Chadema Diaspora
Slaa naona unatema cheche. Vipi ukipewa nchi utafanya lolote jipya kama sio kugombania hizo raslimali ulizozisema na kuzitaja. Kama mlivyo wachache kwenye cdm mnapigana vikumbo nani atwae madaraka sasa mkipewa nchi si ndo mtataka kula hadi kuvimbiwa zaidi ya ccm mnaowasema.
Unapokuwa unatazama mpira unaona makosa mengi ya wacheza pia ya refa ingia sasa uwanjani kama hutaishia kuua bacteria kwa kupiga hewa na kuacha mpira. Upinzani mnajitahidi mnasema sana lakini ndo mnaoongoza kwa uroho wa madaraka na na udikteta.
Kama ni kweli wanademokrasia na si wanadomokrasia mbona Wenyeviti wenu wengi ndo wagombea urais kila muhula. Je wengine hawapo wazuri kwenye vyama vyenu.
Acha hizo walafi ninyi.:welcome:[
Kwa hiyo unazani utatuzi utakuwa ni upi kupata viongozi bora nchi hii?