t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
MkuuHuo mlio maana yake ni kuwa injini yako ina misifire; yaani haichomi mafuta vizuri. Suspect mkubwa sana hapo ni injectors. Inaoinekana kama vile injector hazi-atomize mafuta sawasawa. Ukiweza tafuta mafundi wa kukukagulia na kukusafishia injectors. Suspect namba mbili ni spark plugs hasa zikiwa na masizi mengi hushindwa kuchoma mafuta sawasawa na kusababisha misfire.
Kitu cha pili inawezekana una bearing ama za waterpump au za air conditioner zimeshasagika. Kwa vile unapoteza coolant, inawezekana sana kuwa bearing za waterpump zimeshasagika; waambie mafundi wako aangalia bearing hizo pia.
Upo upande wangu kabisa "injectors" kwa sababu naamini petrol treatments huwa haziwi recommended na Toyota