Hah Nuh ana sauti nzuri.... na wewe Wema muda wote huo unaongea nae huku ukijua kabisa kuwa anakukosea adabu... au ulikuwa unafuraia mtongozo wa nyuki sijui kipepeo na maua??
kuna madem sampuli ya hawa wasanii sio wa kutongozwa kwa maneno cjui maua cjui nn...... mpelekee zawad kagari flan ivi apo nje weka business card kwa bonet tangulia gesti mwenyewe atakuja!!!
Mke wa Nuhu awe mpole, chukua hali halisi kwani kila binadamu hukosea. Na mkipendana huyo Wema atajiumbua mwenyewe. Mwanaume akubali kakosea basi gurudumu lisonge mbele. Usimwache mmeo kwa msaala upitao. Take care
MWANAMUME KUTOSWA kawaida! Ila mhhh mziwanda na wewe duuu unapiga zile za maua,bado kidogo tu upige "nikinywa maji nakuona kwenye glass"........kutongoza kizamaaniii. Lol by the way mziwanda hujielewi.jipange ,acha ukicheche ,zinaa itakufikisha pabaya