Alwayz on top
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 706
- 268
Kwa majibu alokuwa anayatoa wema ningekuwa Mimi lazma ning'oe maana aliVyokuwa anajibu kama anataka flan lkn anaogopa pale dawa yke kumuona face kwa face hlf unamtemea madini ya ajabu inaonekana wema mwepes sana Nuhu angemwambia tu nishaachana na shilole angebeba mzgo uleee