AUDIO: Nuhu Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu

Kwa majibu alokuwa anayatoa wema ningekuwa Mimi lazma ning'oe maana aliVyokuwa anajibu kama anataka flan lkn anaogopa pale dawa yke kumuona face kwa face hlf unamtemea madini ya ajabu inaonekana wema mwepes sana Nuhu angemwambia tu nishaachana na shilole angebeba mzgo uleee
 
Hao wepesi kweli ! Si unajua watoto wa kinyiramba !
 
Nuhu yuko sahihi, tatizo ni Wema kushindwa kulinda private za watu.

Ile Sheria bado JK hajasini ainzie kwa Wema kufanya kazi.!
 
Msanii Nuhu Mziwanda amerekodiwa akimtongoza Wema Sepetu what a bad week for Shilole.
Naona sasa Huyu kijana ananyota ya kupwelepwetwa,mana kwa wema kunataka energy soon kidogo..!!sema Shishi alikuwa anamnyima dogo papuchi,na kujikuta akiishia kupiga picha za insta bila kuona ndani..
 
Last edited by a moderator:
Nayeye anatongoza kama sinema ya kihindi, two hours anaongea maua. Weke mpunga mezani shusha zipu unakula Mzigo kimya kimya.
 
Ama kweli Wema ni beauty wamabeautyz, diva wa madivaz,ngono wa mangonoz,hats kama amekaza Ila atakuja kumlegezea dogo na kufungua Papu...i,cha msingi do go awe na subira
 
Nayeye anatongoza kama sinema ya kihindi, two hours anaongea maua. Weke mpunga mezani shusha zipu unakula Mzigo kimya kimya.
Dogo amedokezwa na Mond,kutumia njia ya maua kwani ndo aliyotumia mtoto wa tandale kwa wema,sema dogo Akujiongeza akaamua kuamisha..
 
Kwa majibu alokuwa anayatoa wema ningekuwa Mimi lazma ning'oe maana aliVyokuwa anajibu kama anataka flan lkn anaogopa pale dawa yke kumuona face kwa face hlf unamtemea madini ya ajabu inaonekana wema mwepes sana Nuhu angemwambia tu nishaachana na shilole angebeba mzgo uleee
Wema ni mtu wa watu,na anapenda kuwatimizia watu haja zao,so yeyote mweye hisia kwa wema Hanabudi kuziweka wazi kwa Mama huruma Huyu?!
 
Kwa majibu alokuwa anayatoa wema ningekuwa Mimi lazma ning'oe maana aliVyokuwa anajibu kama anataka flan lkn anaogopa pale dawa yke kumuona face kwa face hlf unamtemea madini ya ajabu inaonekana wema mwepes sana Nuhu angemwambia tu nishaachana na shilole angebeba mzgo uleee

Hata mimi nimeona fursa pale mkuu
 
Sijui mnampendea Wema kitu gani. Usafiri kama spoku, manyama uzembe kibao, macho ka shwetani, mikorogo usiseme, pua utafikiri dume.
 
Back
Top Bottom