AUDIO: Nuhu Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu

AUDIO: Nuhu Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu

Sasa ajabu nini mwanaume kutongoza... Issue nyingine sio za kukaa headline
 
kutongoza kuna kukubaliwa na kukataliwa sioni la ajabu hapo ametumia nafasi yake kama mwanaume
 
mziwanda ameniangushaaa katongoza kizembe sana boy.
 
kuna watu tz ni maarufu kushinda kazi zao wanazofanya nuhu,stanbakora,petiman,na WEMA SEPETU(hana lolote la maana ila ana jina mjini ,movie hatoi daa)
 
Hah Nuh ana sauti nzuri.... na wewe Wema muda wote huo unaongea nae huku ukijua kabisa kuwa anakukosea adabu... au ulikuwa unafuraia mtongozo wa nyuki sijui kipepeo na maua??
 
Wabongo wanonko sana unamrekodi mwenzio ili iweje.shitttt
 
dah nuhu nae ana sound za ki old skuli

kuna madem sampuli ya hawa wasanii sio wa kutongozwa kwa maneno cjui maua cjui nn...... mpelekee zawad kagari flan ivi apo nje weka business card kwa bonet tangulia gesti mwenyewe atakuja!!!
 
Mke wa Nuhu awe mpole, chukua hali halisi kwani kila binadamu hukosea. Na mkipendana huyo Wema atajiumbua mwenyewe. Mwanaume akubali kakosea basi gurudumu lisonge mbele. Usimwache mmeo kwa msaala upitao. Take care
 
MWANAMUME KUTOSWA kawaida! Ila mhhh mziwanda na wewe duuu unapiga zile za maua,bado kidogo tu upige "nikinywa maji nakuona kwenye glass"........kutongoza kizamaaniii. Lol by the way mziwanda hujielewi.jipange ,acha ukicheche ,zinaa itakufikisha pabaya
 
Shangingi Wema katika ubora wake.Alipofanya Dai alionekana hafai leo yeye anaonekana mwerevu.
 
Dah yan lile jimbo ndo mana wagombea wamepita wengi, yan niwe nae chocho au nchi za watu hata mimi napita bila kupingwa
 
kuna watu tz ni maarufu kushinda kazi zao wanazofanya nuhu,stanbakora,petiman,na WEMA SEPETU(hana lolote la maana ila ana jina mjini ,movie hatoi daa)

umaarafu kazi sana
 
Back
Top Bottom