Alwayz on top
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 706
- 268
Kwa majibu alokuwa anayatoa wema ningekuwa Mimi lazma ning'oe maana aliVyokuwa anajibu kama anataka flan lkn anaogopa pale dawa yke kumuona face kwa face hlf unamtemea madini ya ajabu inaonekana wema mwepes sana Nuhu angemwambia tu nishaachana na shilole angebeba mzgo uleee
Naona sasa Huyu kijana ananyota ya kupwelepwetwa,mana kwa wema kunataka energy soon kidogo..!!sema Shishi alikuwa anamnyima dogo papuchi,na kujikuta akiishia kupiga picha za insta bila kuona ndani..Msanii Nuhu Mziwanda amerekodiwa akimtongoza Wema Sepetu what a bad week for Shilole.
Akili anazo sema za bei MBAYA..?!huyu mtoto akili hanaa
Dogo amedokezwa na Mond,kutumia njia ya maua kwani ndo aliyotumia mtoto wa tandale kwa wema,sema dogo Akujiongeza akaamua kuamisha..Nayeye anatongoza kama sinema ya kihindi, two hours anaongea maua. Weke mpunga mezani shusha zipu unakula Mzigo kimya kimya.
Yuko stationery moja hapa mjini anachapisha talaka maalumu kwa ajili ya Serengeti boy wake..Wap shsh mauno
Wema ni mtu wa watu,na anapenda kuwatimizia watu haja zao,so yeyote mweye hisia kwa wema Hanabudi kuziweka wazi kwa Mama huruma Huyu?!Kwa majibu alokuwa anayatoa wema ningekuwa Mimi lazma ning'oe maana aliVyokuwa anajibu kama anataka flan lkn anaogopa pale dawa yke kumuona face kwa face hlf unamtemea madini ya ajabu inaonekana wema mwepes sana Nuhu angemwambia tu nishaachana na shilole angebeba mzgo uleee