Audio: Wasanii kuhama UKAWA kurudi CCM, nini maana yake?


Hawana mazara sasa mtu kama chuchu hans ana impact gan? Hawez hata kuleta watu watano wakahamia chama flan yani hana ushawishi
 
Wangeona alichofungua Rais wa Kenya kwa ajili ya wasanii wasingemshangaa Jk. Hawajitambui. Wjinga wajinga tuuuu
 
Wamemfuata msanii mwenzao John Pombe Magufuli...

JPM akiwa Mtwara aliwahimiza wasanii wampigie kura kwa kuwa hata yeye Magulini ni msanii mwenzao tena mpiga tumba...
 
Hela kachukueni CCM ukawa ni mwendo wa kujitolea
 
Bwana ee wasanii wote waende CCM waTz wako serious na mbadiliko hatuna muda na fiesta njaa zao zilizosababishwa na hiyo CCM pia tukishika nchi tutawasaidia, sis tunamachungu na nch wao wanatafuta maslahi binafsi, boolishit.
 
mimi kinachoniumiza kichwa ni jinsi ambavyo hawa ccm watatuachia nchi ikiwa haina hata senti tano maana hizi wanazochezea si ni hela za wavuja jasho???
 
Elimu ina umuhimu mkubwa sana kwa watu mfano Wa wasanii
 
Hivi Juma Nature bado msanii? Anaigiza au anaimba maana hasikiki kabisa
 
Prof. J na mhm sugu wanatosha wahasis wa muziki wa bongo flavor
 
Nature yule cio huyu hana jipya hata akienda huko hana affect kwa ukawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…