Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Walijua ukawa wanatoa pesa teh teh huku ni mwendo wa kujitolea hadi kieleweke
Walijua ni sehemu ya kuchuma kama ccm?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walijua ukawa wanatoa pesa teh teh huku ni mwendo wa kujitolea hadi kieleweke
Cha ajabu ni kipi hapo!? Kama mmefika dau watakataa vipi wakati muziki ndio kazi yao? JK si alikuwepo hapo msanii mwenzao!?
Walijua ni sehemu ya kuchuma kama ccm?
Fisi nao wana mpango wa kurudi Mikumi.
Wakasimulie kule kwamba kumbe Lowasa hagawi pesa wala nini
Chuchu Hans amethibitisha katk mkutano wa ccm moro kwamba amerudi ccm, leo hii taarifa inasema Juma Nature ametangaza kurudi ccm ktk kampeni, hii ikoje wadau? ina ashiria nini? vijana wasanii wameshtuka nini? mbona wanasema ukawa walikwenda kwa maslahi?
lets wat loadng....... kumbuka cybe law ohoooo
Link ya Audio hii...JUMA NATURE MBIONI KUREJEA CCM, SASA AMPIGIA KAMPENI MGOMBEA HUYU KUTOKA CHAMA HICHO | FAHARI YA KUSINI