Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,515
Si ni bora hata Mkapa kuliko Huyo aliemuandikia barua kumuomba amsaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna rais wa ajbu sana awamu hii
Ni afadhari Mara kumi mkapa kuliko huyu mtu mfupi kutoka chatoSi ni bora hata Mkapa kuliko Huyo aliemuandikia barua kumuomba amsaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni afadhari Mara kumi mkapa kuliko huyu mtu mfupi kutoka chato
Kirahisi hivyo
Inafaa alipwe kitoto pia: unakusanya sarafu za kutosha unampelekea nyumbani; akimaliza kuhesabu amechoka anauchapa usingiziAkili Imesharudi Utotoni
bi mkubwa shikamooMjasiri haachi asili.
Huyu kama si Mchagga basi pia ana damu ya Kisomali.
Kwahiyo akishachapa usingizi unazichapa hizo sarafuInafaa alipwe kitoto pia: unakusanya sarafu za kutosha unampelekea nyumbani; akimaliza kuhesabu amechoka anauchapa usingizi
Kanataka pensheni kadingiNdio maana Hayati Mwalimu Nyerere alimkataa huyu mzee kumbe ana njaa sana na hela yani pamoja na Jiwe kumpatia ulaji bado kanataka bilioni 2 za burebure