Augustine Mrema aitaka Serikali kumlipa Tsh. Bilioni 2 kwa kusingiziwa kesi katika Serikali ya awamu ya tatu

Augustine Mrema aitaka Serikali kumlipa Tsh. Bilioni 2 kwa kusingiziwa kesi katika Serikali ya awamu ya tatu

Mzee anatumika kucheza michezo ya ki CCM utasikia Raisi wa wanyonge kamsikia
nilikiuliza asubuhi habari imeandikwa gazetini (majira) gazeti lasomwa studioni jamaa anapewa airtime HASANI NGOMA MUNGU AMLAANI
 
Hahaha ccm wabaya sana, wanakutumia kama toilet paper au condom, ukimaliza kazi unatupwa hata mkono wa kwaheri hakuna.

Mrema kaanza kudai haki uzeeni, mapambio ya kusifia yameisha nguvu sasa anaanza kutafuta haki na usawa.

Hivi Cheyo naye huwa anaswaga kama hizi yule ni mtu wao wa ndani.
 
Back
Top Bottom