Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
UDP nayo inakufa.
TLP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UDP nayo inakufa.
UDP ni ya John Cheyo. Chama cha Mrema ni TLP.UDP nayo inakufa.
Nimepitiwa Chief😂UDP ni ya John Cheyo. Chama cha Mrema ni TLP.
Ndio zao hizo huwa hawana shukraan hata chembe Ccm !!CCM wamemtumia Mzee wa watu Kisha wakaja kumtupa dah
😁😁😁 Naelewa mkurugenzi.Nimepitiwa Chief😂
Daah, Rest in peace Mzee wanguMwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo Jumapili, Agosti 21, 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.
Mrema aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alizaliwa Desemba 31, 1944, Vunjo mkoani Kilimanjaro.
Msemaji wa MNH, Aminieli Eligaisha amesema, Mrema alilazwa hospitalini hapo kuanzia Agosti 16,2022 na kufikwa na mauti asubuhi ya leo.
Enzi za uhai wake, mwanasiasa huyo aliwahi kuwa mgombea urais kupitia NCCR-Mageuzi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 baada ya kujiunga na chama hicho akitokea Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mrema aliwahi kuwa Mbunge wa Moshi Vijijini (CCM), Temeke (NCCR Mageuzi) na Vunjo kupitia TLP na hadi amefikwa na mauti alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole.
Augustine Mrema-Gwiji wa siasa za Upinzani za Tanzania wa wakati wote
Ninaandika haya huku nikiwa natafakari kwa kina uelekeo wa Siasa za nchi yetu hasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa Tanzania utakaofanyika mwezi Oktoba.Katika tafakuri yangu pia nimetazama yanayojiri katika siasa za Tanzania kipindi hiki na hili limenifanya niandike kidogo kumhusu Mheshimiwa Augustine...www.jamiiforums.com