mzee zile za leo ni mbwembwe tu mwendokasi ina kampuni ya (UDART ) mtoa huduma za mabasi ambayo ni mali ya serikali kwa 85% na ipo chini ya msajili wa hazina ambae ndio anasajili hisa za serikali na 15% ni simon group hivyo serikali kwenye mabasi ndio ina hisa nyingi kabisa hivyo mabasi kama hayatoshi ni tatizo la serikali maana wanaosimamia kampuni ya UDART wametoka serikalini kwa sababu hisa za serikali ndio nyingi ndio maana katumbua pia kuna msimamizi ambae ni( DART ) wakala wa serikali wa mabasi yaendayo haraka yupo chini ya tamisemi kazi yake ni kuhakikisha mtoa huduma anatoa huduma zilizo bora na pia kuhakikisha phase zote za barabara za mwendokasi zinajengwa na kusimamia miundombinu ya BRT kama barabara , majengo na nk
swale je kama mabasi ya mwendokasi yanamilikia na serikali kwa asilimia 85 je unamlaumu nani mabasi hayatoshi?