Aulizaye ataka kujua: Hivi mabasi ya mwendokasi ni mali ya nani per se?

Aulizaye ataka kujua: Hivi mabasi ya mwendokasi ni mali ya nani per se?

Hizo scan mashine ni za mfumo wa kizamani sana,tumepigwa mchana kweupe,
Tazama Tiketi za Boti za Bakhresa ,mbona eye anatumia Machine za kisasa zaidi kuona ni abiria wangapiwameingia kwenye Boti na yupi kaachwa baada ya kuiziwa Ticket.
 
Mradi wa Serikali ila mabasi siyo ya Serikali
Kwa mujibu wa waziri Mkuu inaonekana hata hayo mabasi ni mali ya serikali ila yamekodishwa kwa mbia ambaye anapaswa kurudisha pesa/deni ambalo serikali ilipewa na benki ya dunia.
 
Kwani mkuu yale mabasi ya mwendokasi kule bandari nani anatakiwa kuyalipia kodi iliyaachiliwe maana ni mwaka sasa yanaozea pale.
mkuu kipindi kina kisena (udart)wanahisa 51% na serikali 49% waliagiza hayo mabasi sasa serikali ikataka alipie kodi maana ni ya kampuni binafsi hakulipa badae akakamatwa mali za udart serikali ikaongeza umiliki asilimia 85 na wenyewe wakabaki 15% sasa kama serikali ndio inamiliki 85% kwa muda huu maana yake mabasi ni ya serikali kwa 85% apo nani anatakia alipie kodi ?na TRA wamekaba koo wanataka kodi yao maana yatakua na plate namba private hata kaa ni mali ya serikali asilimia 85% na simon kwa 15%
 
Hizo scan mashine ni za mfumo wa kizamani sana,tumepigwa mchana kweupe,
Tazama Tiketi za Boti za Bakhresa ,mbona eye anatumia Machine za kisasa zaidi kuona ni abiria wangapiwameingia kwenye Boti na yupi kaachwa baada ya kuiziwa Ticket.
Unadanganya. Ile system iliyofungwa pale ni bora kabisa. Niamini mimi
 
Back
Top Bottom