Aulizaye ataka kujua: Malkia na Mfalme wanapatikana vipi Uingereza?

Aulizaye ataka kujua: Malkia na Mfalme wanapatikana vipi Uingereza?

Nani anapokea rambi rambi ya msiba wa malkia Elizabeth? Tujitahidi kuchangia, wasije wakashindwa kusafirisha na kuzika mwili wa mpendwa wao.wana JF.
 
Succession ya ufalme Uingreza inakuwaje? Charles ndiye anakuwa King, why Charles and not any other member from the royal family? Malkia na King wanakupatikanaje?
Alihemo madarakani huchagua mrithi na kizazi cha huyo ndo hutoa warithi wa baadaye
 
Nadhani Pohamba amejibu sawa Kabisa

Hapo Chadema mwenyekiti anapatikanaje? Samahani lakini rafiki yangu!
Wewe kaoshe magari ya mabosi wako huko ccm, hakuna unachofahamu kwenye mambo kama haya, umekalia tu umbeya wa siasa za ki-ccm, bure kabisa.
 
zamani ilikuwa Mtoto wa kwanza wa Kiume wa Mfalme au Malkia …baadae waka badili ikawa wa kwanza kuzaliwa bila ya kujalisha jinsia lakini akijitoa Kwny uanglican hapati hiyo fursa
Mbona dada yake na king Charles hajapewa u Queen wakati ndio first born wa malkia Elizabeth
 
Succession ya ufalme Uingreza inakuwaje? Charles ndiye anakuwa King, why Charles and not any other member from the royal family? Malkia na King wanakupatikanaje?
Ukute ni kama Malkia wa Nyuki tu anavyopatikana
 
Back
Top Bottom