M45 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2015 Posts 1,110 Reaction score 1,462 Oct 12, 2024 #21 Huyo bibi afunguwe kiwanda cha kutotoa vifaranga sasa.
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 3,447 Reaction score 8,896 Oct 12, 2024 #22 Hapo wamemlipia Kwa muda tu lakini kifurushi kikiisha ataanza kununua umeme.Hivi vichekesho vya kizimkazi vinachekesha kwelikweli.
Hapo wamemlipia Kwa muda tu lakini kifurushi kikiisha ataanza kununua umeme.Hivi vichekesho vya kizimkazi vinachekesha kwelikweli.