Aunt Ezekiel karibia anajifungua mimba ya mcheza show wa Diamond

Aunt Ezekiel karibia anajifungua mimba ya mcheza show wa Diamond

Screenshot_2015-01-13-19-47-22-1.png


Mcheza show wa diamond naye karibu anaitwa baba

Nadhani masikio ya mtoto atakaezaliwa yatakuwa ya yule Waziri anayeongoza wanyama waishio porini.
 
Mmh Hilo changa la macho tu dogo katupiwa mpira na faranga kadhaa, Hilo tumbo ni la waziri wenu wa wanyama.. Safari ya US imejibu.... Kalagabhaho!!

Ulikua akilini mwangu..dogo anatumika tuu km gereshaa... lol
 
From HERO to ZERO, From MAPEDESHEE & MAWAZIRI to DANCER. Sio siri Aunt Ezekiel umeshuka kiwango,sikutegemea!
 
Kweli demu akishafikisha 25 kuendelea asipopata mtu wa kumtuliza ndani akili zinaruka,sikutegemea demu aliyekuwa anagombewa na kina jack pemba leo hii analiwa na wakata viuno wa domo.

Mkuu haya maneno mazito saana, lakini hujasoma wanasema mwenye mimba ni utata ha ha ha , alikuwa safari ya VIP Marekani usisahau ha ha ha
 
ha ha ha dah sijui anajisikiaje mara aambiwe mme mbaya nw anaitwa panya road lol...
 
Na boss wake Diamond naye Ana roho ngumu ya kula pekupeku,awa watu majasiri
hehe..akili za mkumbo.Wandhani umaarufu ni mkubwa kuliko uhai,wanapagawa sana kwa wanawake kuliko wanwake wanavyoweza pagawa kwao.Akili za kujiona wanabahati na hawakustahili kupata penzi la hao wanawake ambao hata wafanyakazi wa ndani wanaweza kuwala wakichelewa nao tuu.Unaweza mtoa kijana porini ila si kutoa pori ndani ya kijana.Hawa jamaa wamekulia na kuelelea jamii za malalamiko na hata wakikobolewa,bado akili za dhiki na ujinga,kudandia kila kitu haziwatoki.
 
Back
Top Bottom