Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Anatumia dougie 16 sasa hivi
15 ilirirpotiwa ikafungwa
Kumbe.. nilijua wameniblock.. we ndio mmbea mwenzangu wa Insta LOL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatumia dougie 16 sasa hivi
15 ilirirpotiwa ikafungwa
Huyu kijana anaroho ngumu kma isis kala pekupeku
Na boss wake Diamond naye Ana roho ngumu ya kula pekupeku,awa watu majasiri
![]()
Mcheza show wa diamond naye karibu anaitwa baba
hivi Dougie 15 yupo Insta nimemtafuta jana nikachoka
Tafuta dougie 16 mkuu wakiifunga na hio tutampata kwa dougie 17 nadhan hahaaa mkuuu kumbe mbea hivyo looo
Hahahaaaa napenda umbea mwenzio
Kumbe.. nilijua wameniblock.. we ndio mmbea mwenzangu wa Insta LOL
Hahahaaaa napenda umbea mwenzio
Angekuwa jeshini ni Brigedia
Mmh Hilo changa la macho tu dogo katupiwa mpira na faranga kadhaa, Hilo tumbo ni la waziri wenu wa wanyama.. Safari ya US imejibu.... Kalagabhaho!!
From HERO to ZERO, From MAPEDESHEE & MAWAZIRI to DANCER. Sio siri Aunt Ezekiel umeshuka kiwango,sikutegemea!
Kweli demu akishafikisha 25 kuendelea asipopata mtu wa kumtuliza ndani akili zinaruka,sikutegemea demu aliyekuwa anagombewa na kina jack pemba leo hii analiwa na wakata viuno wa domo.
huyo dansa ni decoy tu.Mmh Hilo changa la macho tu dogo katupiwa mpira na faranga kadhaa, Hilo tumbo ni la waziri wenu wa wanyama.. Safari ya US imejibu.... Kalagabhaho!!
hehe..akili za mkumbo.Wandhani umaarufu ni mkubwa kuliko uhai,wanapagawa sana kwa wanawake kuliko wanwake wanavyoweza pagawa kwao.Akili za kujiona wanabahati na hawakustahili kupata penzi la hao wanawake ambao hata wafanyakazi wa ndani wanaweza kuwala wakichelewa nao tuu.Unaweza mtoa kijana porini ila si kutoa pori ndani ya kijana.Hawa jamaa wamekulia na kuelelea jamii za malalamiko na hata wakikobolewa,bado akili za dhiki na ujinga,kudandia kila kitu haziwatoki.Na boss wake Diamond naye Ana roho ngumu ya kula pekupeku,awa watu majasiri