Roho Mbaya
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 777
- 677
From HERO to ZERO, From MAPEDESHEE & MAWAZIRI to DANCER. Sio siri Aunt Ezekiel umeshuka kiwango,sikutegemea!
Huyu kijana anaroho ngumu kma isis kala pekupeku
Huyu kijana atakua jamii ya fisi maji (nt...mbi) wao huwa hawajari chochote hata kama ni jiwe wanapiga tu.....
N.B habari kuhusu fisi maji ulize yoyote anaetoka pembezoni wa ziwa victoria
fafanua mkuu umeniaha,fisi maji ndio wapi?
uko kwenye mitandao mingine kimenuka baada ya watu kusema aunt amebeba mimba ya panya road ( mcheza show huyo eti kama kama panya road)
Aunt amemmind sintah balah, Heaven on Earth MankaM Dinazarde
hahaaaaaa watu wabaya kudadadeki zao.. so Iyobo ni panya road lol
Lakin kuna tetesi pia aunt sio mjinga ni mdada wa mjin ile mimba ni ya mali asili na utalii,safari ya marekani ilizaa matunda
ni tetesi za instag tu
Hapa kuna mtu mbili wzr ama dogo vyovyote iwavyo aliyefanya hili game kwa huyu basi ana uwezo wa kula supu ya nyoka, nampa hongera kwa ujasiri.Mmh Hilo changa la macho tu dogo katupiwa mpira na faranga kadhaa, Hilo tumbo ni la waziri wenu wa wanyama.. Safari ya US imejibu.... Kalagabhaho!!